Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anthony Mkinga, akiruka kujaribu kumkamata Kuku, wakati wa mchezo huo wa kufukuza kuku katika Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Magreth John (mbele) aliibuka kidedea. Picha na Mafoto Blog.
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza waMbio za Magunia kwa wanawake, Magreth John, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog.
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Magunia kwa Wanaume, Tumainieli Maleko, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za mita 200 kwa Wanawake, Susan Ringo, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa kwanza wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Elias Joseph, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog
Meneja wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Musoffe Laurance, akimkabidhi Cheti mshindi wa pili wa Mbio za Mita 200 kwa Wanaume, Borrice Bwire, aliyeibuka kidedea katika mbio hizo wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichuana katika mchezo wa mbio za Magunia wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Katika mbio hizo Merey Sammy (kushoto) alishika nafasi ya pili na Mery Malilo (kulia) aliibuka mshindi wa tatu,huku nafasi ya kwanza ikichukuliwa na Magreth John (hayupo pichani) Picha na Mafoto Blog.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mazoezi ya pamoja wakati wa Bonanza maalum la Wafanyakazi wa PPF lililofanyika kwenye Uwanja wa Chuocha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, leo Machi 19,2016. Picha na Mafoto Blog
Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki mbio za Kizunguzungu, wakati wa Bonanza hilo.
No comments:
Post a Comment