Katibu mkuu pia anahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo na kuimarisha chama, Katika msafara huo Kinana anaogozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi. Kero kubwa iliyojitokeza katika ziara hiyo ni pale Mkurugenzi wa huduma za Afya katika hospitali ya Tumbi Dr. Peter Dattan aliposema Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii iliahidi kununua vifaa vya chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali hiyo(ICU) Lakini ahadi hiyo haijatekelezwa yapata miaka mitatu sasa, Pamoja na kwamba hospitali ya Tumbi Kibaha inapokea majeruhi wengi na wanahitaji tiba maalum kutokana na majeraha mbalimbali yanayosababishwa na majeruhi wa na ajali, Hospitali ya teule ya Tumbi inapokea asilimia 80% ya majeruhi wa ajali. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIBAHA)
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Sunday, 21 September 2014
WIZARA YA AFYA YASHINDWA KUTIMIZA AHADI YAKE HOSPITALI TEULE YA TUMBI KIBAHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment