Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 24 September 2014

HATIMAYE, HII NDIYO RASIMU YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta

Mambo yameiva, na hii hapa ndiyo Rasimu ya Tatu ya Katiba, ambayo inapendekezwa na Bunge Maalum. 
Vipengele vingi vimebadilishwa. Haya hapa ni mambo ya Muungano:

Mambo ya Muungano

1.            Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2.            Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
3.            Usalama na usafiri wa anga.
4.            Uraia na uhamiaji.
5.            Jeshi la Polisi.
6.            Sarafu na Benki Kuu.
7.            Kodi ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania na zinazosimamiwa na Idara ya Forodha.

8.            Mambo ya nje.
9.            Usajili wa vyama vya siasa.
10.         Mahakama ya Juu na Mahakama ya Rufani.
11.         Elimu ya Juu.
12.         Baraza la Taifa la Mitihani na mambo yote yanayohusika na kazi za Baraza hilo.
13.         Utabiri wa hali ya hewa.

14.         Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano. 


IPAKUE MWENYEWE HAPA: RASIMU YA TATU

1 comment: