Taarifa zinasema, katika ajali hiyo iliyotokea jana mchana, takriban watu 48 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
MUNGU TUNUSURU NA AJALI HIZI.
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
No comments:
Post a Comment