Zitto Kabwe
|
9:20 AM (11 hours ago)
| |||
|
Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono.
Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa
Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma
vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka 2008
(baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs
20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo
na akalipwa. Nadhani alimwambia pia kuwa
Mwaka 2010 Mkono alimpa Mbowe tshs 200m za kampeni ya Slaa.
Pia
hakusahau kumwambia kuwa Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs 100m za kampeni.
Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za
chama kutoka Conservative party?
Nimefanya
internship yangu kwa Mkono and Company Advocates kuhusu masuala ya
mikataba. Mzee Mkono ni Mzee wangu na alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka
mama wa kifaranga ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani na Kinana na
Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake
na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas.
They must know I am not a push over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu mke wake aliyemzalia watoto hawezi kunyooshea mtu kidole kuhusu maadili.
No comments:
Post a Comment