Mkurugenzi wa Ofisi ya Zanzibar, Mohamed Ngwali akitoa maelezo ya takwimu za hali mbaya ya hewa iliyowahi kutokea kwa kipindi cha miaka 50 katika visiwa vya Unguja na Pemba, akisisitiza wananchi kutopuuza tahadhari zitolewazo.
Wananchi mbalimbali wakipata maelezo ya kina juu ya umuhimu wa taarifa za hali ya hewa katika banda la TMA kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ofisa Uhusiano wa TMA Bi. Monica Mutoni akitoa elimu kwa umma jinsi ya kupata taarifa za hali ya hewa kupitia njia mbalimbali za usambazaji wa taarifa hizo kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Meneja Kituo cha Zanzibar Said
Khamis akimwelezea mwananchi njia mbalimbali za ukusanyaji wa takwimu za hali
ya hewa kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment