Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akionyesha Kitabu, DVD na CD zenye
ujumbe wa “TUNZA AMANI IKUTUNZE”, wakati wa uzinduzi wa mkakati huo wenye lengo
la kudumisha amani ulioratibiwa na Shirika la Kukuza Amani na Uchumi Tanzania(PSEDO)
, Kulia ni Mkurugenzi wa shirika hilo, Askofu Nason Ngoy Ngoy. Hafla hiyo
imefanyika leo katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza mara baada ya uzinduzi
wa Kitabu, DVD na CD zenye ujumbe wa “TUNZA
AMANI IKUTUNZE”, wakati wa uzinduzi wa mkakati huo wenye lengo la kudumisha
amani ulioratibiwa na Shirika la Kukuza Amani na Uchumi Tanzania(PSEDO). Hafla
hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo Bisimba akizungumza mara baada ya uzinduzi
wa Kitabu, DVD na CD zenye ujumbe wa “TUNZA
AMANI IKUTUNZE”, wakati wa uzinduzi wa mkakati huo wenye lengo la kudumisha
amani ulioratibiwa na Shirika la Kukuza Amani na Uchumi Tanzania (PSEDO). Hafla
hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Shirika la Kukuza Amani
na Uchumi Tanzania (PSEDO). Askofu Nason
Ngoy Ngoy, akizungumza wakati wa
uzinduzi wa Kitabu, DVD na CD zenye ujumbe wa “TUNZA AMANI IKUTUNZE.
Hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi
wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.
Washiriki wa uzinduzi wa Kitabu, DVD na
CD zenye ujumbe wa “TUNZA AMANI IKUTUNZE”, ulioratibiwa na Shirika la Kukuza
Amani na Uchumi Tanzania(PSEDO), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius
Nyerere, jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akizungumza na Naibu Katibu
Mkuu wa Chama cha UDP, Goodluck Ole Medeye, mara baada ya kumaliza uzinduzi wa Kitabu, DVD na CD zenye ujumbe wa
“TUNZA AMANI IKUTUNZE”.Hafla hiyo imefanyika
leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,
jijini Dar es salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
No comments:
Post a Comment