Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 22 September 2016

WAZIRI JENISTA AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA

Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Kanali Mstaafu Shaban Lissu mara baada ya kuwasili wilayani humo kujionea madhara ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akioneshwa ramani ya wilaya ya Kyerwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Kanali Mstaafu Shaban Lissu   inaonesha maeneo yaliyoathiriwa na tetemeko la ardhi. Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Kyerwa Innocent Bilakwate.
Diwani wa Kata ya Itera (CHADEMA) akimueleza Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama ukame ulivyoathiri mimea ya kahawa na migomba katika kata hiyo leo wilayani humo.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akimpa maagizo Mkuu wa Wilaya Kanali Mstaafu Shaban Lissu   kuhusu kuanzisha kampeni ya kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.

Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akiongea na baadhi ya wananchi wa wilaya ya Kyerwa alipotembelea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.

Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akimpa pole mwalimu Anna Mollel wa shule ya msingi Ileega ambaye nyumba yake imebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akikagua nyumba ya mwalimu Anna Mollel wa shule ya msingi Ileega ambaye nyumba yake imebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akiongea na baadhi ya watoto wilayani Kyerwa wakati akiwa kwenye ziara kujionea madhara ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.
Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama akiongea na mkulima wa viazi wilayani Kyerwa Shakiru Issa wakati wa ziara ya kujionea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.
Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Kyerwa, Kagera.

No comments:

Post a Comment