![]() |
| Wasanii Barnaba na Nandy wakitoa burudani pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana. |
![]() |
| Barnaba akiendeleza mtiriko wa burudani ya muziki mzuri |
![]() |
| Christian Bella naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta |
![]() |
| Maua Sama |
![]() |
Wasanii Navy Kenzo wakitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta kwenye uwanja wa Majengo,Moshi mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
|
![]() |
| Nay wa Mitego akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta |
![]() |
Msanii Sholo Mwamba akionyesha uhodari wake wa mtindo wa singeli kwenye tamasha la Tigo Fiesta uwanja wa Majengo, Moshi Kilimanjaro usiku wa kuamkia jana.
|
![]() |
| Umati wa wakazi wa Moshi waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta usiku wa jana |








No comments:
Post a Comment