| Belle9 akiwapagawisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliojitokeza katika viwanja vya jamhuri katika tamasha la Tigo Fiesta |
| Jux na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja wa NAKUCHANA katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri mwishoni wa wiki hii. |
Wasanii Bushoke na Maua Sama wakifanya shoo
ya pamoja kwenye tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana uwanja wa Jamhuri Dodoma
|
| Christian Bella akitumbuiza mashabiki wa burudani waliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta mapema mwishoni wa wiki hii mkoani Dodoma. |
| Maua Sama na Nandi wakiimba kwa pamoja katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya Jamuhuri Mkoani Dodoma |
| Vanessa na Mcheza shoo wake wakiburudisha maelfu ya wakazi w.a Dodoma waliofika viwanja vya Jamhuri kwenye Tamasha la Tigo Fiesta |
| Wabunge wakilisakata Rhumba wakiongozwa na Msanii Benpol |
| Joh Makini na Niki wa Pilli toka Weusi wakilivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana katika Tamasha la Tigo Fiesta |
No comments:
Post a Comment