Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday 23 September 2016

MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA UNDP NCHINI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo wakati alipokuwa akizngumza kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment