Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 19 December 2015

MICHUANO YA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUANZA JUMATATU DESEMBA 21,2015.


Michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam kwa msimu wa mwaka 2015/2016 inaanza kutimua vumbi siku ya jumatatu desemba 21,kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti.Timu ya Sifapolitan wataikaribisha timu ya Ninja, Katika uwanja wa S/msingi kigamboni,timu ya Inter Milan watacheza dhidi ya timu ya Red Coast katika uwanja wa M/nyamala,timu ya Kijitonyama watakipiga dhidi ya Azania Ngano kwenye uwanja wa Kunduchi,huku timu ya Mkunguni wakioneshana ubabe dhidi ya timu ya Magereza kwenye uwanja wa Magereza.
Ligi hiyo ya mkoa wa Dar es salaam inashirikisha jumla ya timu 32 zilizopangwa a katika makundi manne, ambapo kila kundi linaundwa na timu 9,zitakazomenya kusaka washindi watatu kila kundi watakaoingia kucheza hatua ya pili,na washindi watatu wa jumla watakaopatikana,majina yao yatapelekwa Tff kwaajili ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa wa mikoa.
Kamati ya mashindano ya chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA,imethibitisha kukamilika kwa maandalizi yote ya ligi hiyo,ikiwa ni pamoja na kuzipa kanuni na taratibu klabu zote zinazoshiriki.
DRFA ina imani kuwa kama ilivyokuwa katika misimu iliyopita,mashindano hayo yataleta ushindani wa kweli na hatimaye kuwajenga kiuwezo wachezaji watakaojihakikishia kupata nafasi katika vilabu vinavyoshiriki ligi daraja la kwanza na ligi kuu hapo baadaye.
 
 
CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU MKOA WA DARES SALAAM (DRFA)
RATIBA YA LIGI YA MKOA DSM MSIMU 2015 /2016
 
TAREHE
TIMU
UWANJA
M NO
KUNDI
21.12.2015
21.12.2015
21.12.2015
21.12.2015
Sifapolitan        Vs     Ninja
Interm millan    Vs     Red coast
Kijitonyama      Vs     Azania ngano
Mkunguni         Vs     Magereza
S/M KIGAMBONI
MWANANYAMALA
KUNDUCHI
B.MKAPA
M  01
M  02
M  03
M  04
A
A
A
A
 
 
 
 
 
22.12.2015
22.12.2015
22.12.2015
22.12.2015
Kimiani        Vs      Tuamoyo
Panama         Vs      Beirahotspurs
Sifa utd         Vs     Nyota Africa
Simba u20      Vs     Makumba
S/M KIGAMBONI
MWANANYAMALA
B.MKAPA
KUNDUCHI
M  05
M  06
M  07
M  08
B
B
B
B
 
 
 
 
 
23.12.2015
23.12.2015
23.12.2015
23.12.2015
Temeke             Vs      Davis Carne
Ugimbi              Vs      Mbudya
New kunduchi  Vs       Vijana rangers
Pan Africa        Vs        Zimamoto
BANDARI
MWANANYAMALA
KUNDUCHI
B.MKAPA
M  09
M  010
M  011
M  012
C
C
C
C
 
 
 
 
 
24.12.2015
24.12.2015
24.12.2015
24.12.2015
Shababi             Vs      Msufini
Kumbukumbu   Vs      Makumbusho
Stakishari          Vs     Gonga
Segerea Utd      Vs      Aggrey
S/M KIGAMBONI
MWANANYAMALA
BANDARI
B.MKAPA
M  013
M  014
M  015
M  016
D
D
D
D
 
 
 
 
 
27.12.2015
27.12.2015
27.12.2015
27.12.2015
Sifapolitan          Vs     Sharif Stars
Ninja                   Vs      Inter Milen
Red coast            Vs     Kijitonyama
Azania ngano      Vs      Aggrey
BANDARI
S. KIGAMBONI
MWANANYAMALA
B.MKAPA
M  017
M  018
M  019
M  020
A
A
A
A
 
 
 
 
 
28.12.2015
28.12.2015
28.12.2015
28.12.2015
Vijana -Ilala         Vs    Kimiani
Tuamoyo             Vs      Panama
Beira hotspurs      Vs     Sifa utd
Nyota Africa        Vs     Simba u20
 
B.MKAPA
BANDARI
MW/NYAMALA UKOMBOZI
M  021
M  022
M  023
M  024
B
B
B
B
 
 
 
 
 
29.12.2015
29.12.2015
29.12.2015
...

No comments:

Post a Comment