Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 17 December 2015

KATIBU WIZARA YA HABARI AWASHUKURU WADHAMINI WA SIKU YA MSANII DUNIANI

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wadhamini kutoka kampuni mbalimbali waliodhamini Siku ya Msanii Duniani iliyofanyika hivi karibuni.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na wadhamini kutoka kampuni mbalimbali waliodhamini Siku ya Msanii Duniani iliyofanyika hivi karibuni.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi  Sanaa Bi. Lear Kihimbi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa pili kutoka kushoto akimkabidhi Cheti mmoja wa wadhamini waliodhamini Siku ya Msanii Duniani kutoka Habari Corparation iliyofanyika hivi karibuni kutoka Habari Corporation.


Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko kutoka Kampuni ya African Media Group Limited Bi Resty Ngonyani  moja kati ya wadhamini wa siku ya msanii duniani.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kushoto akimkabidhi Bwana Hamid Abdulrahman kutoka Channel Ten moja kati ya kampuni iliyodhamini siku ya msanii duniani.

No comments:

Post a Comment