Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 8 November 2015

PICHA 18 ZA MWANAHABARI NA BLOGGER WA BINAGI MEDIA GROUP KUANZIA MSINGI HADI CHUO.

Mwanahabari na Mwanzilishi wa Mtandao wa BINAGI MEDIA GROUP, George Marwa Binagi-GB Pazzo alisoma Shule ya Msingi Kenyamanyori iliyopo Tarime Mkoani Mara na hapo ilikuwa mwaka 2006 akipokea cheki cha kuhitimu darasa la saba.

Mwanahabari na Mwanzilishi wa Mtandao wa BINAGI MEDIA GROUP, George Marwa Binagi-GB Pazzo alisoma Shule ya Sekondari Rebu iliyopo Tarime Mkoani Mara na hapo ilikuwa mwaka 2010 akipokea cheki cha kuhitimu Kidato cha Nne.
Mama akimlisha keki mwanae katika mahafali ya kidato cha nne
Ahsante binamu maana nawe ulikuwemo
Familia
Ndugu, jamaa na marafiki
Familia
Mwanahabari na Mwanzilishi wa Mtandao wa BINAGI MEDIA GROUP, George Marwa Binagi-GB Pazzo alisoma Chuo cha Uandishi wa Habari Royal Prince kilichopo Sengerema Mkoani Mwanza na hapo ilikuwa mwaka 2011 akipokea cheki cha kuhitimu chuo.
George Binagi-GB Pazzo
Binagi Media Group
Mama Mlezi akimzawadia mwanae zawadi
Ilikuwa nzuri sana
Mnakumbukwa sana popote pale mlipo
Mnakumbukwa sana popote pale mlipo
Popote Ulipo unakumbukwa sana
Mnakumbukwa sana popote pale mlipo
Mwanahabari na Mwanzilishi wa Mtandao wa BINAGI MEDIA GROUP, George Marwa Binagi-GB Pazzo
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii, Tunashukuru kwa wote waliohusika kupiga picha hizi.

No comments:

Post a Comment