Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 3 November 2015

KAMPUNI YA MBONGO YAIBUKA KIDEDEA MAREKANI

Dickson Mkama.
KUMBE! Wabongo tunaweza, Kampuni ya DMK Global ya nchini Marekani inayomilikiwa na kijana wa Kitanzania , Dickson Mkama imefanikiwa kuibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha Tuzo za African Entertainment Awards U.S.A katika kipengele cha Best Promoter.

Tuzo aliyoshinda Mkama.
Kampuni hiyo ambayo imekuwa ikifanya kazi za kuandaa shoo za wasanii kibao wa kibongo na hata nje ya Bongo, ilichukua tuzo hiyo Oktoba 31, New York, Marekani.
CEREDIT: Gabriel Ng’osha/GPL

No comments:

Post a Comment