Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na
wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na
wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya
wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na
wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na
wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya
wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa, katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi.
Joyce Fissoo. .(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Baadhi ya wasambazaji wa filamu na miziki nchini wakitoa mchango wao wa jinsi ya namna gani ya kuboresha tasnia ya filamu na muziki wakati wa mkutano na Mh. Nape Nnauye hayupo pichani kwa faida ya uchumi wa wasanii, wasambazaji na Taifa kwa ujumla. .(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akiongea na wasambazaji wa filamu na muziki nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa. .(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akikagua ubora wa moja ya kazi zinazosambazwa na moja ya kampuni ya usambazaji nchini wakati wa mkutano kati yake na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM).
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Bi. Joyce Fissoo akimuonyesha Mh.
Waziri moja ya vielelezo vinavyotumika kupanga madaraja ya filamu mbalimbali
kutokana na ubora wa filamu husika wakati wa
mkutano kati Wizara na wasambazaji hao uliojadili namna gani ya
kuboresha tasnia hiyo kwa manufaa ya wasanii, wasambazaji na uchumi wa Taifa.
.(Picha Na Benjamin Sawe- WHUSM)
No comments:
Post a Comment