Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 6 April 2016

NAIBU WAZIRI WA HABARI ALIPOTEMBELEA CHUO CHA TASUBA BAGAMOYO

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).

Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akiangalia moja ya tuzo ya ubora iliyopewa taasisi hiyo Afrika Mashariki wakati wa ziara ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa  TaSUba  Bw. Michael Kadinde (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia wakati wa ziara ya Mh. ya Mheshimiwa Waziri aliyoifanya katika Taasisi hiyo iliyopo Bagamoyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimuuliza jambo Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde kushoto wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimuonyesha Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia ramani mpya ya taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Mwenyekiti wa Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo Mwalimu John Mponda akionyesha umahiri wa kucheza ngoma mbele ya Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura hayupo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde wa kwanza kushoto akimuonyesha Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi  katikati moja ya sanaa iliyotengenezwa na wanafunzi wa taasisi hiyo wakati wa ziara aliyoifanya Mh. Wambura katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Afisa Mipango wa taasisi hiyo Bw. Emanuel Bwire. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) wakati wa ziara  aliyoifanya Mh. Wambura katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili, wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho kulia akionyesha zawadi aliyopewa na Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba),anayemkabidhi ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo  Bw. Michael Kadinde. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia akiongea na watumishi wa  Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) hawapo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazoikabili taasisi hiyo, wa kwanza kulia ni  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho.  (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Nuru Khalfan Mrisho wa kwanza kulia akiongea na watumishi wa  Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUba) hawapo pichani wakati wa ziara ya kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili.wa pili kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Anastazia Wambura na wa kwanza kushoto ni  Kaimu Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUba)  Bw. Michael Kadinde  (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia akiongea na watumishi wa TaSUba hawapo pichani wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazoikabili taasisi hiyo, wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho na wa kwanza kulia ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TaSUba  Bw. Michael Kadinde. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).



Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa nne kutoka kushoto waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa ngoma wakati wa ziara aliyoifanya katika taasisi hiyo kujionea utendaji kazi na changamoto zinazowakabili,wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Bi. Nuru Khalfan Mrisho na wa kwanza kushoto ni Mtendaji Mkuu wa TaSUba  Bw. Michael Kadinde. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM).

No comments:

Post a Comment