Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 30 April 2016

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ,SAID MECKY SADICK AFANYA ZIARA YA UTAMBURISHO WILAYA YA HAI.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadickyakitia saini katika kitabu cha wageni alipotembelea ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai.

Mkuu mpya wa wilaya Hai , Gelasius Byakanwa (kushoto) akimuelekeza jambo Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick alipotembelea ofisini kwake.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akizungumza na watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Hai.
Mkuu mpya wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akitoa taarifa ya wilaya hiyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick alipotembelea ofisini kwake.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai ,Said Mderu akiandaa taarifa kwa ajili ya kukabidhi kwa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick.
Mkuu wa Polisi wilaya ya Hai ,OCD Pancras Mdimi akifuatilia taarifa ya wilaya iliyokuwa ikitolewa kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky Sadick akisoma ubao wenye majina ya wakuu wa wilaya waliowahi kufanya kazi katika wilaya hiyo .
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick akiongozana na Mkuu mpya wa wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa wakati wakitoka katika ofisi ya mkuu huyo wa wilaya.

Na Dixon Busagaga wa Globua ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment