Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Monday 11 April 2016

BIRTH DAY YA MWANAFUNZI WA TIA, HAMAD H. YUNUS YATIKISA VIWANJA VYA BIASHARA VYA MWALIMU JULIUS NYERERE SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM JIONI YA LEO

 Mwanafunzi Hamad H.Yunus wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA),  (kulia), akimlisha keki Bi Mariam Mkumbukwa katika hafla yake ya kuzaliwa viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam mchana huu "hakika sherehe hiyo imenoga sanaaaa).
Katibu Muhtasi wa Mtandao wa www. habari za jamii.com Bi Mariam Mkumbukwa akimlisha keki  Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Hamad H.Yunus (kulia), katika hafla ya  kuzaliwa mwanafunzi huyo iliyofanyika jioni hii viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam mchana huu.
 Mwanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Hamad H.Yunus akimlisha keki Mmiliki wa Mtandao wa www.habari za jamii.com Bwana Dotto Mwaibale (kushoto), katika hafla yake ya kuzaliwa iliyofanyika Viwanja vya Biashara vya Mwalimu Nyerere Sabasaba vilivyopo Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jioni hii. Kulia ni Katibu Muhtasi wa Dotto Mwaibale, Mariam Mkumbukwa.
 Hapa wageni waalikwa na wanafunze wenzake na Hamad wakitosti katika sherehe hiyooooo.
Hapa ni chupa juu na furaha tele. Big Up Hamada Yunus kwa Birth Day yako.

No comments:

Post a Comment