Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 23 February 2016

HAFLA YA PSPF YAFANA

Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF Bw. Ismail Omary kulia akimpa maelekezo ya juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo mgeni rasmi Yeremia Mbaghi kutoka TRA ikiwa ni pamoja na huduma ya uchangiaji wa hiari kwa wajasiriamali.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).

Afisa uendeshaji  kutoka PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelekeza wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na huduma ya uchangiaji kwa hiari kwa faida ya biashara zao na maendeleo yao kwa ujumla. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa uendeshaji  kutoka PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelekeza wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na huduma ya uchangiaji kwa hiari kwa faida ya biashara zao na maendeleo yao kwa ujumla. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF Bw. Ismail Omary kulia akimpa maelekezo mteja  juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa uendeshaji msaidizi aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)
Afisa uendeshaji msaidizi aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)



No comments:

Post a Comment