Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 23 November 2016

WAZIRI MBARAWA ATEMBELEA WAKALA WA UFUNDI NA UMEME - TEMESA



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Dkt. Mussa Mgwatu akieleza utendaji kazi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, alipotembelea Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), alipokagua karakana ya Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akiteta na mmoja wa madereva wa Serikali katika karakana ya TEMESA, alipokagua karakana ya Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Dkt. Mussa Mgwatu akisisitiza jambo wakati  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, alipotembelea Wakala huo, jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akisisitiza jambo wakati akiongea na wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Kanda ya Dar es Salaam na Pwani (hawapo pichani) alipokutana nao jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)
Wafanyakazi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipokutana nao jijini Dar es Salaam kuwaeleza mikakati ya Serikali kwa Wakala huo.




(Picha na Benjamini Sawe-Maelezo)

No comments:

Post a Comment