Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 17 November 2016

SEMINA YA MUONGOZO KWA WASANII WALIOTEULIWA TUNZO ZA EATV YAFANYIKA DAR

Mratibu wa tuzo za EATV toka Baraza la Sanaa la Taifa Seleman Mabiso akifafanua jambo mbele ya wasanii walioteuliwa kuwania tunzo hizo.

Mmoja kati ya waratibu wa tunzo za EATV Bhoke Egina akitoa ufafanuzi kwa wateule wa tunzo hizo katika semina ya mwongozo iliyandaliwa kwa ajili yao Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa filamu, Gabo Zigamba akitoa hoja kwenye semina ya wateule wa tunzo za EATV.
Mtangazaji wa vipindi vya SuperMix na Uswazi vya EATV Hillary Daudi akiongea mbele ya wasanii wateule wa tunzo za EATV katika semina ya mwongozo iliyofanyika katika studio za ITV, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wasanii wakisikiliza kwa umakini maelezo kutoka kwa waandaaji.
Wasanii walioteuliwa kuwania tuzo za EATV wakisikiliza waandaaji katika semina ya muongozo iliyoandaliwa ili kuwapa mwanga kuhusiana na tunzo hizo.


No comments:

Post a Comment