Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa anatoka kwenye Wodi ya Sewahaji katika Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili na kurejea nyumbani mara baada
ya kuruhusiwa baada ya kupata nafuu. Mama Janeth Magufuli alikuwa amelazwa
hospitalini hapo tangu tarehe 9 Novemba 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Dkt. Raymond Mwenesano, Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa nje na Daktari
Bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada
ya kuruhusiwa kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata
nafuu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akimshukuru Dkt. Edward Ngwalle, Daktari wa Rais mara baada ya kuruhusiwa
kutoka hospitalini hapo na kurejea nyumbani baada ya kupata nafuu.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimshukuru
Dkt. Benard Kepha ambaye Daktari Bingwa wa Magonjwa ya dharura na ajali katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kuruhusiwa kutoka na kurejea
nyumbani mara baada ya kupata nafuu. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment