Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 17 July 2015

WANACHAMA 12 WACHUKUA FOMU ZA UBUNGE NZEGA

Hussein Bashe (kushoto) akiteta jambo la Mbunge wa sasa wa Nzega Mjini, Dk. Hamisi Kigwangallah.

Na Hastin Liumba, NzegaKADA wa chama cha mapinduzi (CCM) Joseph Ngulumwa ameishauri serikali kuingalia upya sheria ya madini kwa wachimbaji wadogo ya mwaka 2010 ili iweze kunufaisha kundi hilo.

MWANAMUZIKI BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Ramadhan Masanja 'Banza Stone' (wa pili kushoto) enzi hizo akiwa katika kundi la disko la Home Boyz lililokuwa na maskani yake Sinza jijini Dar es Salaam. Hii ilikuwa mwaka 1993. Wengine pichani waliokuwa wakiunda kundi hilo kutoka kushoto ni Ashura Mponda 'Queen Clouds', Ras Dee na Elvis Danger. 

KAMBI MBWANA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE HANDENI VIJIJINI


Mwandishi wa Habari za Michezo na mdau wa maendeleo ya wilaya ya Handeni, Kambi Mbwana, mwenye fulana ya CCM, akikabidhiwa fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Handeni Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu Msaidizi wa CCM wilayani Handeni, Asha Muya, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Kulia kwa Mbwana ni Jerome Mhando, mmoja wa wadau waliomsindikiza katika tukio la uchukuaji fomu ya kuwania nafasi ya kuwatumikia wana Handeni. Picha na Mpiga Picha Wetu.

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUUNGURUMA NDANI YA KIOTA KIPYA CHA LUKAS PUB MASAKI, USIKOSE LEO

Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (wa pili kutoka kushoto), Ashura Kitenge(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Lukas Pub jijini Dar.

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO KIPINDI HIKI CHA EID


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

BASATA Arts Centre                                                                            Tel. 2863748/2860485
                                                                                                  Fax: 0255- (022) – 286 0486                                                                                                                         
Ilala Sharif Shamba                                                                                                                                                                       
P.O. Box. 4779, Dar es Salaam
E-mail:basata06@yahoo.com

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO NA UKIUKAJI WA SHERIA ZA UENDESHAJI KUMBI ZA SANAA NA BURUDANI KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU YA EID-EL-FITR
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi.

THE STARS BAND KUZINDULIWA RASMI EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB

IMG-20150715-WA0008
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.

Thursday, 16 July 2015

CHADEMA YAKANUSHA MADAI YA LOWASSA KUJIUNGA NACHO

Edward Lowassa
Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa kihistoria hapo Oktoba 25.

MSANII WA FILAMU AJIUNGA NA ACT-WAZALENDO


Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.

NYUMBA YA CHRIS BROWN YAVAMIWA

Chris Brown
Nyumba ya nyota wa muziki Chris Brown kutoka Marekani imevamiwa na kupekuliwa na watu watatu waliofunika nyuso zao ambao walimfungia shangazi lake ndani chumba chake kulingana na maafisa wa polisi.

VAZI LA BURQA LAPIGWA MARUFUKU CAMEROON


Maafisa wa serikali kaskazini mwa Cameroon wamepiga marufuku wanawake kuvalia vitambara vinavyofunika nyuso zao maarufu kama Burka.

GEORGE HW BUSH AVUNJIKA SHINGO

George HW Bush
Aliyekuwa rais wa Marekani George HW Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.

KOMBE LA KAGAME: SIMBA SC WALIPOZIMIWA TAA NA KUPIGWA SUDAN, MALAWI IKAJITOA CECAFA 1994

 
Kikosi cha Yanga cha mwaka 1994. Waliosimama kutoka kushoto ni Salum Kabunda 'Ninja', Constantine Kimanda, Steven 'Abdulmalik' Casmir Nemes, Kenneth Mkapa, na Selemani Mkati. Waliochuchumaa ni Nico Bambaga 'Machine', Sekilojo Chambua, Edibily Lunyamila, James Tungaraza 'Boli Zozo', na Said Nassoro Mwamba 'Kizota'.

JUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE

Hapa ikionesha fomu baada ya kukabidhiwa.

WAKILI ELIAS NAWERA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Wakili Elias Nawera akionyesha alama ya dole baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Kulia ni mgombea ubunge mkoa wa Dar es Salaam kupitia Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Lilian Mkosani.

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BAGAMOYO ACHUKUA FOMU WENGI WAMPONGEZA

 Mgombea Ubunge Jimbo la Bagamoyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mathew Juma Salum Yungwe, akionesha fomu ya kugombea nafasi hiyo baada ya kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo, Kombo Kamote wilayani humo leo mchana.

DK.SHUKURU KAWAMBWA APATA MPINZANI JIMBO LA BAGAMOYO

 Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew 
Juma Salum Yangwe.

TTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI LUSWISWI ILEJE MBEYA

 Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya, James Mlaguzi akisoma taarifa ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo katika shule ya Sekondari Luswisi.

HOMA YA MICHUANO YA KAGAME YAZIDI KUPAMBA MOTO



Homa ya michuano ya Kagame inazidi kupamba moto kufuatia vilabu mbalimbali zinazoshirki michuano hiyo kuanza kuwasili jijini Dar es salaam zikiwa na vikosi vyao kamili kwa lengo la kusaka Ubingwa wa michuano hiyo.

PROMO YA KIPINDI KIPYA CHA TV CHA THE MEETING ILIVYOKUWA IKITENGENEZWA.

Hosts Imani Hezron (Kushoto) akiwa pamoja na George GB Pazzo (Kulia) wakiwa location wakitengeneza Promo ya Kipindi kipya cha Runingani Kiitwacho THE MEETING hii leo Jijini Mwanza. 

BINTI WA MICHUZI AJITOA KIMASOMASO; ACHUKUA FORM YA UBUNGE WA VITI MAALUM

 
 Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.

NATOSHA KUVAA VIATU VYA UBUNGE WA DEWJI SINGIDA MJINI- HASAN MAZALA

fomu
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM Manispaa ya Singida, Hasan Mazala akionesha vijana fomu yake ya kuwania ubunge Jimbo la Singida Mjini jana kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoani Singida.

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI YOMBO VITUKA DAR


 Diwani wa Kata ya Vituka, Kenny Makinda (kulia), akisaidia kumtwisha ndoo ya maji Mwajuma Mikorota wakati wa hafla ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  ya kukabidhi kisima cha maji katika eneo la Nasizi, Vituka kwa Limboa, Temeke, Dar es Salaam juzi.Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu.

AL SHANDY, MALAKIA, KMKM KUWASILI LEO


Timu ya Al Shandy kutoka nchini Sudan, Al Malakia kutoka Sudan Kusini na KMKM kutoka Visiwani Zanzibar zinatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es salaam tayari kwa ushiriki wao kwenye michuano ya kombe la Kagame.

MUWANIA KUTEULIWA UBUNGE TABORA USO KWA USO NA ADEN RAGE

Bandora Salum Mirambo akiwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Tabora kuchukua fomu za ubunge wa Tabora Mjini.

THE NORWEGIAN EMBASSY GRANTS UN TANZANIA 3.1 MILLION US DOLLARS

DSC_0170
Nyarugusu Refugee's camp in Kigoma.IMG_2156_1
Ambassador of Norway, H.E Hanne-Marie Kaarstad, (left) and UN Resident Coordinator, Mr. Alvaro Rodriguez, signing agreement of USD 3.1 million for Grants to support the UN’s Refugees response, governance initiatives, and UN Partnership Building in Zanzibar as well as on Human Rights, at the ceremony which was held at the UN offices in Dar es Salaam.

MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA, WILLIAM BUNDALA ATANGAZA RASMI KUWANIA UBUNGE

1525677_749904191774263_4961655255847640040_n
Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” katika pozi.

WASANII WAIOMBA SERIKALI KUUMALIZIA UKUMBI WA BASATA

 Mdau wa Sanaa na utamduni Bw. Francis Kaswahili naye alitoa mchango wake kwenye Jukwaa la Sanaa. Alitoa wito kwa wasanii kuhakikisha wanakuwa na kauli moja katika kuhakikisha wanasimamia maslahi yao.

MAGUFULI KUFUNGUA MICHUANO YA KAGAME JUMAMOSI

Dk. John Magufuli
Waziri wa Miundombinu nchini Tanzania, John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame siku ya Jumamosi, Julai 18 2015 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

SUCCESSFUL WOMEN IN THE SPOTLIGHT INTERVIEW WITH DOCTOR MWELE MALECELA

11752481_10101143699808225_3821973930301238449_n
The host of the show Fatema Dewji-Jaffer, during the interview with Doctor Mwele Malecela.

NEW VIDEO: DIGNA FT MAROMBOSO – KIDODOSA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

digna ft maromboso

TONY ELUMELU FOUNDATION HOSTS HISTORIC BOOTCAMP FOR 1,000 EMERGING AFRICAN ENTREPRENEURS FROM 51 AFRICAN COUNTRIES IN OTA, NIGERIA

TEEP 1
l-r:Benin Republic Prime Minister, Mr. Lionel Zinsou, Nigeria’s Vice President, Prof. Yemi Osinbajo, Founder, Tony Elumelu Foundation Mr. Tony Elumelu and Kaduna State Governor, Mallam Nasir El-Rufai at the $100 Million Tony Elumelu Entrepreneurship Programme (TEEP) boot camp for 1000 entrepreneurs from 51 countries across Africa, Ota, Ogun State, on Saturday July 11, 2015.

Sunday, 12 July 2015

KOMBE LA KAGAME: YANGA WALIKWENDA UGANDA KWA MELI WAKARUDI KWA NDEGE, SIMBA WALIKWENDA KWA NDEGE WAKARUDI KWA MELI 1993


Kikosi mahiri cha Yanga. Kuanzia wa pili kutoka kushoto ni Daktari wa timu Sheki Mngazija, kipa Riffat Said, Said Mwamba 'Kizota', Willy Martin, Willy Mtendawema, Selemani Mkati, Issa Athumani 'Amiri Jeshi', Mtwa Kihwelu 'Dally Kimoko', Method Mogella 'Fundi', Steven Mussa, Mohammed Hussein 'Mmachinga', Abubakar Salum 'Sure Boy', Edibily Lunyamila, Zamoyoni Mogella 'DHL', David Mwakalebela 'MP', Steven Casmir Nemes na Kenneth Pius Mkapa.
Yanga ikipambana nchini Uganda mwaka 1993. Pichani ni Zamoyoni akihangaika uwanjani.


Na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com

MWAKA 1993 mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati yalifanyika jijini Kampala, Uganda ambapo Tanzania Bara iliwakilishwa na mabingwa watetezi, Simba SC pamojana mabingwa wa Bara, Yanga.
Mtandao wa www.brotherdanny.com unaendelea kuwaletea uchambuzi wa kihistoria katika mashindano haya wakati tukielekea kwenye michuano ya mwaka huu ambayo itaanza Jumamosi hii jijini Dar es Salaam.

ANGALIA LIVE HAPA MKUTANO WA CCM SIKU YA PILI



WAZIRI MKUU WA SERBIA VUDIC APIGWA MAWE


Waziri mkuu wa Serbia Aleksandar Vucic,amepigwa mawe na kufukuzwa na raia wa Bosnia katika hafla ya ukumbusho wa miaka 20 ya mauaji ya halaiki ya watu katika mji wa Srebrenica.

UCHAGUZI WAAHIRISHWA TENA BURUNDI


Uchaguzi wa Burundi umeahirishwa tena.
Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza amesema uchaguzi utafanyika tarehe 21 Julai.

TATU BORA YA CCM HII HAPA, KITAELEWEKA TU LEO


Saturday, 11 July 2015

NIA YA UDIWANI KATA YA SEGEREA NUSURA UMTOE ROHO MTOTO WA MASSABURI

 Katibu wa Uchumi na Fedha Kata ya Segerea,  Steve Massaburi akiwa Hospitali ya Aga-khan leo akiendelea na matibabu.

MEMBE APONGEZWA KUINGIA TANO BORA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete na Makamu Mwenyekiti Visiwani na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

NIGERIAN TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME (TEEP) TO TRANSFORM TANZANIA EMERGING ENTREPRENEURS

Untitled 6
The Managing Director of UBA Tanzania Mr. Demola Ogunfeyimi addresses the Tony Elumelu Foundation Entrepreneurship Programme (TEEP) Entrepreneurs heading for the training in Ota Nigeria from Tanzania during the send off dinner in Dar es Salaam organized by United Bank for Africa Tanzania.

NIMR YAZINDUWA RIPOTI KUYAKABILI MAGONJWA YA TB, MALERIA NA TROPIKO

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius Massaga wakizinduwa kitabu cha utafiti kitakachosaidia uboreshaji mfumo wa huduma za afya, uandaaji wa ajenda za kitafiti juu ya utafiti wa mifumo wa afya wa magonjwa ya kifua kikuu na maleria na pamoja na magonjwa ya kitropiki (NTD).

DODOMA ILIVYOKUWA


 Waandishi wa Habari wakiwahi kuingia ukumbini kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu Maalum cha CCM kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu maarufu kama White House.

MKUTANO MKUU WA CCM KUONYESHWA LIVE MTANDAONI


Friday, 10 July 2015

KOMBE LA KAGAME: AFC LEOPARDS YATWAA KOMBE MOJA KWA MOJA 1984

Kikosi cha AFC Leopards kilichotwaa ubingwa mwaka 1984. Picha kwa hisani  ya kenyapage.net.

Na Daniel Mbega wa www.brotherdanny.com
Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati 1984 yalifanyika mwezi Januari katika miji ya Nairobi na Mombasa nchini Kenya katika miji ya Nairobi na Mombasa kama ambavyo mtandao wa www.brotherdanny.com unavyochambua. 

ONYESHO LA YOUNG SCIENTISTS TANZANIA KUFANYIKA AGOSTI 5-7 DIAMOND JUBILEE


Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais anayeshughulikia Sera na Uhusiano wa BG Tanzania, Mr. John Ulanga, Mkurugenzi Mtendaji wa Young Scientist Tanzania (YST) ambaye piandiye muasisi mwenza, Dk. Gosbert Kamugisha na Naibu Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Brian Nolan wakizungumza na wanahabari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam.

NHIF YAKABIDHI MSAADA WA MASHUKA 200 KWA HOSPITALI YA MKOA MJINI SINGIDA

DSC00136
Meneja wa NHIF mkoa wa Singida, Agnes Chaki (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Singida, Alli Amanzi msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya hospital ya mkoa mjini hapa.(Picha na Nathaniel Limu).
DSC00132
Mkuu wa wilaya ya Singida,Alli Amanzi (kulia) akibadilishana mawazo na Meneja Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki (katikati) muda mfupi kabla Meneja NHIF hajakabidhi mashuka 200 kwa hospitali ya mkoa mjini hapa.Kushoto ni Afisa uthibiti ubora wa huduma NHIF mkoani hapa, Dk.Edwin Mwangajilo.