Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 15 September 2015

BASHE, KIGANGWALAH WAMMWAGIA SIFA ZA URAIS DK MAGUFULI NZEGA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani  katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta  baada ya   katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota
 Sehemu ya umati kwenye mkutano wa kampeni za CCM Tabora
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijadiliana  jambo na  mgombea ubunge Jimbo Nzega Vijijini, Hussein Bashe (katikati) na Mgombea ubunge Jimbo la Nzega Vijijini, Dk Khamis Kigangwalah wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Parking mjini Nzega Tabora
 Dk Magufuli akipanda jukwaani kwa kukimbia mjini Nzega leo
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwanadi kwa wananchi  mgombea ubunge Jimbo Nzega Vijijini, Hussein Bashe (kushoto) na Mgombea ubunge Jimbo la Nzega Vijijini, Dk Khamis Kigangwalah wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Parking mjini Nzega Tabora
Dk Magufuli kijinadi kwa wananchi  mjini Nzega leo

No comments:

Post a Comment