Ni hatari
Bella akiwaongoza Malaika Band kutumbuiza ukumbini hapo




...shoo si ikanoga sasa
Bella akitamba jukwaani
Mashabiki wakinogewa na shoo ya Malaika Band



Bella na jukwaa, Bella na mashabiki
Kama kawaida yao Malaika Band wakikinukisha jukwaani
Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo
Shabiki akipanda jukwaani kucheza na Bella
Dada huyu akikata mauno wakati wa shoo hiyo
Shabiki na Bella jukwaani
Bella akiendelea kuwasha moto
Shabiki akimzawadia Bella
Zawadi zikimiminika
Shoo ikibamba
Shangwe za mwaka mpya
Mashabiki wakipanda jukwaani
Shoo ikinoga
Bella akicheza na mashabiki wake
Shoo ikinoga
Bella na mashabiki jukwaani
Mashabiki wakizidi kupagwa.
PICHA NA MUSA MATEJA/GPL
No comments:
Post a Comment