Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 2 September 2015

MAZISHI YA KIONGOZI WA KIKOSI CHA WATAALAM WA KICHINA KATIKA MPANGO WA USHIRIKIANO UENZI WA UWANJA WA TAIFA

 Mke wa marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa akiuaga mwili wa mpendwa wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 Mtoto wa  marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho katika mazishi ya mpendwa wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Leornad Thadeo akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya jamaa wa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakitoa heshima za mwisho wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mke wa marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho wakati wa mazishi ya mume wake ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa, mazishoi hayo yalifanyika jijin Dar es Salaam leo. Wa kwanza kutoka kushoto ni mtoto wa marehemu.
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wa kwanza kushoto  akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Barnabas Ndunguru wa pili kutoka kushoto  akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika mazishi ya Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa China nchini Lin Chiyong akimpa pole mfiwa ambaye ni mke wa marahemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uhuru.

PICHA ZOTE NA BENJAMIN SAWE - MAELEZO

No comments:

Post a Comment