Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika eneo la Ujenzi wa
Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria kuanza kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile
Misenyi Mkoani Kagera. Wengine katika picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara
Charles Mwijage, Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera Bunge Vija Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiwa wameshika utepe huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga makofi mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya cha
Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua maeneo ya ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo
Misenyi mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi katika eneo la mradi wa ujenzi wa kituo hicho cha Afya
cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.
Picha
namba 11. Taaswira ya moja ya jengo katika mradi huo wa kituo cha Afya cha
Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment