Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke (kushoto) wakiweka jiwe
la msingi katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo mkoani Kagera.
Shule hiyo inajengwa upya kufatia kuathirika na tetemeko la Ardhi lililotokea
mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitazama wakati Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah Cooke alipokuwa
akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari
ya Wavulana Ihungo mkoani Kagera. Wakwanza kushoto ni Waziri wa Elimu Profesa
Joyce Ndalichako.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Balozi wa uingereza hapa nchi Sarah Cooke wakikagua ujenzi wa majengo ya
Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo mkoani Kagera.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA) Elius Mwakalinga
akitoa maelezo ya mradi huo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli wakati wa ukaguzi.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini Elius Mwakalinga akitoa
maelezo ya mradi huo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli wakati wa ukaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa Bukoba mjini(CHADEMA) Wilfred Lwakatare mara baada ya
kuwasili katika shule ya Sekondari Ihungo mkoani Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Charles Masinde mmoja wa wanachi mkoani Kagera aliyeamua kujenga
nyumba yake mwenyewe mara baada ya tetemeko. Rais Dkt. Magufuli amemuahidi
mwananchi huyo kuwa atampatia mabati 30 kwa ajili ya kuezekea nyumba yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua
jambo wakati alipokuwa akikagua majengo ya shule ya Sekonadri ya Wavulana
Ihungo ambayo yanajengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisaini Kitabu cha wageni pamoja na Balozi wa Uingereza hapa nchini Sarah
Cooke mara baada ya kuwasili katika uwanja wa mkutano katika Shule ya Sekondari
Ihungo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wananchi wa maeneo ya Ihungo Sekondari Mkoani Kagera hawapo pichani mara baada ya kukagua na
kuweka jiwe la msingi katika Shule ya Sekondari Ihungo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu wakitoka
kwenye ukaguzi wa shule ya Sekondari Omumwani mkoani Kagera. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment