Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday, 30 July 2015

BAADA YA YANGA KUTOLEWA, NUSU FAINALI KAGAME KIINGILIO BUKU TATU TU


Hatua ya nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Taifa, huku kiingilio cha chini katika michezo hiyo kikiwa ni shilingi elfu tatu (3,000).

NA WAPO MALAYA WA KISIASA, TUJIHADHARI!

Ikulu ya Tanzania

Na Daniel Mbega

TAFSIRI ya Kiswahili sanifu ya ‘ukahaba’ au ‘malaya’ inaelezwa kwamba ni tendo la kufanya ngono nje ya ndoa au uhusiano unaokubalika katika jamii, tena na watu mbalimbali na kwa malipo. Sifa ya umalaya au ukahaba imekuwa ikinasibishwa zaidi na wanawake hasa kwa vile wanaume wamekuwa wakidai kuwa wao ni wa wake wengi kwa asili.

WANA CCM KINONDONI CHAGUENI EMMENUEL TAMILA MAJENE KWA MAENDELEO YA JIMBO NA CCM

 

LOWASSA JIHADHARI TAFADHALI, SIYO KILA AKUPIGIAYE MAKOFI ANAKUSHANGILIA!

 Edward Lowassa akionyesha kadi yake ya uanachama wa Chadema baada ya kujiunga na chama hicho juzi Jumanne Julai 28, 2015.
Anawaaga CCM? Hapana. Hapa ni wakati wa mikutano yake ya kutafuta wadhamini alipokuwa katikaharakati za kuomba kugombea urais kupitia chama hicho.
Lowassa na mkewe Regina wakionyesha kadi zao za uanachama wa Chadema.

BI. BERNADETTE MATHIAS AKIIMBA WIMBO WA 'TANZANIA NAKUPENDA' KWA KISWAHILI

MMLIKI WA ST. MATHEW, ST. MARK ADAIWA TALAKA NA MGAWANYO WA MALI

court_gavel
Na Mwandishi Wetu
MDAI katika kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali Magreth Mwangu mkazi wa Mkoani Singida dhidi ya Mkurugenzi wa Shule za sekondari za St.Mathew na St Marks Thadei Mtembei amelalamikia kitendo cha Benki ya CRDB kutoa taarifa zake za benki bila idhini yake wala ya mahakama.

CCM YAPINGA UZUSHI UNAOENEZWA MITANDAONI


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Siku za hivi karibuni kumeibuka baadhi ya watu ambao wamekuwa kwa makusudi na kwa malengo maalum wakitunga na kujiandikia taarifa, za uongo, kujenga hofu na au kupotosha na kisha kuzisambaza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kwa malengo mahsusi dhidi ya Chama Cha Mapinduzi.

Wednesday, 29 July 2015

'MESSI' WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

Meneja wa timu ya Coastal Union, Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia, Ibrahim Twaha "Messi" mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo.

PAISHA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR

Mgeni rasmi ambae pia ni rais wa Makampuni ya Convivium Africa Investment, Ndg Alfonso ippolito akizungumza machache wakati wa uzinduzi wa platform mpya ya matangazo iliyozinduliwa hapo jana katika hoteli ya serena.Paisha ni platform ya matangazo ambayo inapatikana kupitia simu za mkononi yaani smartphone na kupitia tovuti ambapo watumiaji wa simu za smartphone wanaweza kuipakua kupitia google play and playstore bure kabisa.

Tuesday, 28 July 2015

WASANII WAELEZWA UMUHIMU WA KUJIWEKEA AKIBA

Bakari Mbelemba, maarufu Mzee Jangala


NA MWADISHI WETU
WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwa kuwa kufanya hivyo kuna kumuhimu mkubwa katika maisha yao baada kuwa wamestaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.

RAIS WA FFB KUWASILI LEO


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Burundi (FFB), Reverien Ndikuriyo anatarajiwa kuwasili leo saa 5 usiku jijini Dar es salaam kwa shirika la Ndege la Rwanda Air.

AZAM Vs YANGA NI MAUAJI TU KESHO KOMBE LA KAGAME

Kipre Cheche kulia Mchezaji wa timu ya Azam FC akikokota mpira mbelea ya beki wa Yanga Nidir Haroub Canavaro wakati wa mchezo wa fainali ya kombe la Kagame
Hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup 2015) inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano kwa michezo miwili kuchezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku macho na masikio yakiwa kwenye mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC.

MICHANGO YA KAMPENI YAWALIZA WAGOMBEA CCM

“Tunaendelea na mchakato wa kura ya maoni. Kila
“Tunaendelea na mchakato wa kura ya maoni. Kila mtu yuko bize na kura, siwezi kuzungumzia watu wachache wasioridhika wakati wengi wanaendelea na utaratibu tuliojiwekea.” Nape Nnauye, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM 
Na Waandishi Wetu, Mwananchi
Dar/mikoani. Michango ya kampeni za kujinadi kwa wananchi katika majimbo mbalimbali nchini imelalamikiwa na baadhi ya wanachama wa CCM wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge.

KAULI YA MWALIMU NYERERE YATIMIA...“WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO...WATAYATAFUTA NJE YA CCM"

Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere
Dar es Salaam. Kauli ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM inaweza kutimia mwaka huu.

RAIS PUTIN AMTETEA BLATTER, ASEMA ANA HAKI YA KUPEWA MEDALI

Rais wa Urusi, Vladimir Putin
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kiongozi wa FIFA,Sepp Blatter ana haki ya kutunukiwa medali ya uongozi bora wa kuliongoza shirikisho la kandanda duniani.

WAGANDA WAPATA VIBALI VYA KAZI SAUDIA

Muruli Mukasa, Waziri wa Jinsia na Maendeleo ya Jamii wa Uganda.

Mazungumzo yaliyofanywa kati ya Uganda na Saud Arabia, yametoa nafasi kwa raia wa Uganda kupata vibali vya kufanya kazi nchini humo.

OBAMA ANAHUTUBIA UMOJA WA AFRIKA LEO HII

Barack Obama
Rais wa Marekani Barack Obama anaendelea na ziara yake nchini Ethiopia ambapo leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa muungano wa Afrika.

NETANYAHU: AN ENEMY OF PEACE

Benjamin Netanyahu

 
Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu has established himself as the biggest enemy of peace in the Middle East.  His thoroughly unwelcome and error-marred speech to Congress on Iran, his last-minute racist scare tactics on election eve in Israel, and his disingenuous post-election statement that he really does support a two-state solution all reveal a man who fears a just Middle East peace and will do everything he can to thwart it.

KIBAALE HIV RATE SOARS



By  DAVID AYEBALE
Kibaale- Health officials and politicians are worried by the high rate of HIV infections in Kibaale District.

UGANDA CRIME HIGHEST IN FIVE YEARS, SAYS REPORT

Police chief Kale Kayihura addresses journalists at the police
Police chief Kale Kayihura addresses journalists at the police headquarters in Naguru, Kampala, yesterday. PHOTO BYMICHAEL KAKUMIRIZI 
By  ALBERT TUMWINE
Kampala- Crime is at its five-year record high, with cases of deaths by use of firearms rising by 20.6 per cent in 2014.