Shirikisho la Mpira wa Mpira wa Miguu nchini (TFF) linaviomba vilabu vyote vinavyoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kuwasilisha jina la kocha wa magolikipa kufikia jumatatu ya tarehe 29 Juni, 2015 katika ofisi za TFF.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Friday, 26 June 2015
VILABU VPL VYATAKIWA KUWASLISHA MAJINA YA MAKOCHA WA MAKIPA
Shirikisho la Mpira wa Mpira wa Miguu nchini (TFF) linaviomba vilabu vyote vinavyoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom kuwasilisha jina la kocha wa magolikipa kufikia jumatatu ya tarehe 29 Juni, 2015 katika ofisi za TFF.
SITA ZAPANDA DARAJA KUCHEZA SDL

TFF YAVIAGIZA VYAMA VYA MKOA KUWA NA VITUO VYA MPIRA WA MIGUU
STARS YAANZA MAZOEZI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo asubuhi katika uwanja wa Boko Veterani kujiandaa na mchezo wa marudaino kuwania kufuzu kwa CHAN dhidi ya uganda mwishoni mwa wiki ijayo.
TFF YAFUNGUA KOZI YA MAKOCHA WA VIJANA

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo limefungua kozi ya makocha wa mpira wa miguu kwa watoto na vijana kwa nchi nzima kwa lengo la kuhakikisha vijana wengi wanapata nafasi ya kufundishwa mpira na kuucheza mpira kuanzia katika umri mdogo.
MAUAJI MARIKANA: WAPINZANI AFRIKA KUSINI WATAKA MKUU WA POLISI AFUTWE KAZI
Upinzani nchini Afrika Kusini unaitaka serikali imfute kazi mkuu wa polisi Riah Phiyega baada ya tume maalum ya uchunguzi wa mauaji ya wachimba mgodi wa Marikana 2012 kuwalaumu kwa kusababisha vifo hivyo.
VUNA MBEGU ZA KIUME MKIFIKISHA MIAKA 18!
Mbegu za uzazi wa wanaume zinapaswa kuvunwa na kuhifadhiwa pindi mtu anapotimiza umri wa miaka 18.
WAERITREA WAANDAMANA KUPINGA UTAWALA WA UDHALIMU
Rais Isaias Afeworki
Mamia ya wakimbizi wa Eritrea wanaoishi nchini Ethiopia wameandamana mbele ya majengo ya muungano wa afrika AU wakiitaka muungano huo kuchukua hatua zaidi kumaliza ukiukaji wa haki za kibinadamu nchini mwao.
SAFARI YA CHIFU MKALA FUNDIKIRA
| Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48 (moja kasoro 12) za asubuhi. |
TANZANITE YAINGIA KAMBINI
Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) Tanzanite Stars, imeingia kambini jana jioni Mbande jijini Dar es salaam na itakua ikifanya mazoezi katika uwanja wa Azam Complex.
U15 YAENDA MBEYA
Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U-15) leo Ijumaa kimesafiri kuelekea jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na timu kombani ya mbeya U15.
VILABU VYA SOKA VYATAKIWA KUWALIPIA KODI WALIMU NA WACHEZAJI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeviagiza vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu ya nchini (mpira wa kulipwa) Tanzania, kuhakikisha kuwa wanalipa kodi kutokana na kuajiri makocha na wachezaji kutoka ndani na nje ya nchi.
WAKULIMA TUMBAKU UYUI.WAINGIWA HOFU YA MASOKO

Na Hastin Liumba, UyuiWAKULIMA wa zao la tumbaku wilaya ya Uyui mkoani Tabora wako katika hali ya sintofahamu baada ya kukosa masoko ya kueleweka ya wanunuzi wa tumbaku.
WANANCHI UYUI WALIA NA MBUNGE WAO
Dk. Athumani Mfutakamba, Mbunge wa Uyui
Na Hastin Liumba, UyuiWAKAZI wa kata ya Loya wilaya ya Uyui mkoani Tabora wamemlalamikia mbunge wao Dk. Athumani Mfutakamba kwa kutowatembelea tangu walipomchagua.TANGAZO LA MSIBA TANZANIA NA MAREKANI
DR. ALI MZIGE wa Mikocheni, Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha Dada yake MRS MARIAMU -MWAJUMA MUSISA (NEE MZIGE) kilichotokea Raleigh, North Carolina Marekani tarehe 21-06-2015. Mwili wa marehemu utaletwa Tanzania kwa ajili ya mazishi.
KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
MKWASA AITA 26 TAIFA STARS
Kocha Mkwasa (kushoto) na msaidizi wake Hemed Morocco wakiongea na waandishi wa habari
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amemtambuisha kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Charles Boniface Mkwasa mbele ya waandishi wa habari.
MAYANJA ATUA COASTAL UNION, ASAINI MIAKA MIWILI KUIFUNDISHA COASTAL UNION
Katibu Mkuu wa Coastal Union,Kassim El Siagi akipokea mkataba wa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo,Jackson Mayanja mara baada ya kuusaini leo ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo,katika Halfa iliyofanyika mjini hapa,Picha kwa Hisani ya Coastal Union.
WAKAZI IGALULA WADAI HAWANA BARABARA

Ujenzi wa barabara mkoani Tabora
Na Hastin Liumba, Uyui
WAKAZI wa baadhi ya vitongoji na vijiji vya jimbo la Igalula wilayani Tabora ,Uyui mkoani Tabora wamedai maeneo yao yanakabiliwa na ukosefu wa barabara za uhakika hali ambayo inasababisha kukwama kufikiwa kwa maendeleo.
Subscribe to:
Posts (Atom)