Habari za uhakika zilizopatikana hivi punde ni kwamba mkuu wa mkoa
wa mara John Tupa ameanguka ghafla na kutokwa na povu Wakati akitoka nje
ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya (DC) Tarime na kuelekea kupanda gari yake
tayari kuanza ziara ya Tarime.
CHANZO: WANABIDIII
No comments:
Post a Comment