Na Hastin Liumba,TaboraMJUMBE wa mkutano mkuu wa CCM taifa Emmanuel Mwakasaka amewaasa wanachama wenzake kuachana na makundi ndani ya chama hicho kwani yanajenga chuki na kuweza kusambaratisha chama.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Saturday, 28 March 2015
CCM WAASWA KACHANA NA MAKUNDI
Na Hastin Liumba,TaboraMJUMBE wa mkutano mkuu wa CCM taifa Emmanuel Mwakasaka amewaasa wanachama wenzake kuachana na makundi ndani ya chama hicho kwani yanajenga chuki na kuweza kusambaratisha chama.
Friday, 27 March 2015
MUSWADA TATA KUPELEKA WAANDISHI JELA WAPITA.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju.
NA RESTUTA JAMES
Bunge limepitisha muswada mchungu kwa waandishi wa habari na vyombo vya habari baada ya kupitisha Muswada wa Takwimu wa Mwaka 2013, ambao pamoja na mambo mengine unataka mwandishi atakayefanya makosa kwenye kuripoti taarifa za takwimu atafungwa jela miaka miwili ama kutozwa faini ya Sh. milioni 10.
KAGAME CALLS FOR DYNAMIC ECONOMIC GROWTH
President Jakaya Kikwete welcomes Rwanda's President Paul Kagame yesterday in Dar es Salaam.
BY DICKSON NG`HILY
President Paul Kagame of Rwanda has said stimulating sustainable long-term national, regional infrastructure development and a dynamic economic growth, would increase revenue generation thus create opportunities which will benefit the people.
KIKWETE APPOINTS MPS JUST THREE MONTHS BEFORE HOUSE IS DISSOLVED
President Jakaya Kikwete
President Jakaya Kikwete yesterday appointed two Members of Parliament for the United Republic of Tanzania bringing the number of appointed MPs to ten, the maximum the President is allowed to appoint.
MEDIA COUNCIL RELEASES DATE FOR EXCELLENCE IN JOURNALISM AWARDS
Veteran journalist, Chrysostom Rweyemamu (R) is sworn in as Chairperson of the panel of judges for this year's Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT).
Winners of the Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT) and Lifetime Achievement in Journalism Award will be presented their awards next month on April 24 at a colourful event to be held in the nation’s commercial city, Dar es Salaam.
ASSET VALUE UP, PSPF TO INVEST OVER 700BN/- THIS YEAR
PSPF Finance and Administration Director, Yahya Allya, delivers his speech at a workshop on resources, progress and development of the PSPF yesterday in Dar es Salaam.
BY GADIOSA LAMTEY
Following an increase in its total assets to 1.31trn/- from 1.25trn/- in 2012/13, the Public Service Pensions Fund (PSPF) plans to invest over 700bn/- in various projects this year.
TANZANIA, KOREA INK 359BN/- PACT TO FINANCE DEVELOPMENT PROJECTS
Permanent Secretary of the Ministry of Finance, Servacius Likwelile
Tanzania has signed a three-year framework agreement of concessional loans with the Republic of Korea through Exim Bank amounting to 359b/- (USD 200 million) to finance various development projects.
DAWA ZA ANTIBIOTICS HUSABABISHA KISUKARI?
Wagonjwa wanaotibiwa na dawa za viuavijasumu ama antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari, watafiti wamegundua.
JANGA LA EBOLA: RAIA WA SIERRA LEONE HAKUNA KUTOKA MAJUMBANI
Wakuu nchini Sierra Leone wanajiandaa kuanzisha hatua za siku tatu za kuwazuia watu manyumbani, ili kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa wa ebola na kuuangamiza kabisa.
UN KUPUNGUZA VIKOSI VYAKE DRC
Vikosi vya MONUSCO
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kupunguza vikosi vyake vya kijeshi vilivyoko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo -DRC, vikosi ambavyo vina askari wengi zaidi ulimwenguni.
BRAZIL YAICHAPA UFARANSA 3-1
Timu ya taifa ya Brazil
Brazili jana aliikimbiza mchaka mchaka Ufaransa baada ya kuichabanga magoli matatu kwa moja.
MTOTO WA MIAKA MIWILI AWEKA REKODI YA KULENGA SHABAHA INDIA
Mtoto Dolly Shivani Cherukuri
Amini usiamini mtoto mwenye umri wa miaka miwili ameweka rekodi ya taifa ya ulengaji shabaha kwa mishale nchini India.
INATISHA: JAMAA AKUTWA NA FUNZA 100 PUANI!
Funza walioondolewa puani kama wanavyoonekana
Mwanamume mmoja amekutwa na kuondolewa funza wapatao mia moja walio hai tena wanao kula kula puani mwake na kuruhusiwa aende nyumbani.
KUMEKUCHA: KENYATTA AWASIMAMISHA 175 KWA UFISADI, WAMO MAWAZIRI WATANO
Rais Uhuru Kenyatta
Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa miongoni mwa maafisa 175 wa umma watakaolazimika kung'atuka mamlakani katika siku 60 zijazo ili uchunguzi wa kina ufanyike kuhusu madai ya ufisadi dhidi yao.
WANIGERIA KUCHAGUA RAIS KESHO
Wagombea Urais nchini Nigeria
Raia wa Nigeria kesho wanatarajiwa kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
ASILIMIA 40 YA WANAWAKE Z’BAR WANAISHI MAISHA DUNI
Thursday, 26 March 2015
MAREKANI YASHAMBULIA TIKRIT NCHINI IRAQ
Ndege za jeshi la Marekani zimeshambulia mji wa Tikrit nchini Iraq
Ndege za kijeshi za Marekani
zimeanza kutekeleza mashambulizi makali, katika maeneo yenye wanamgambo
wa Islamic State, katika mji wa Tikrit uliotekwa na waasi hao.
NDEGE YA UJERUMANI ILIANGUSHWA MAKUSUDI
Rubani Andreas Lubitz
Rubani wa ndege ya kampuni ya Germanywings ilioanguka katika milima ya Alps nchini Ufaransa siku ya jumanne alitaka kuiharibu ndege hiyo kulingana na maafisa wa Ufaransa.
GERMANWINGS PLANE CRASH: CO-PILOT "WANTED TO DESTROY THE PLANE"
Co-pilot Andreas Lubitz - pictured here on his social media profile - is not known to have any links to terrorism
The co-pilot of the Germanwings
flight that crashed in the French Alps, named as Andreas Lubitz,
appeared to want to "destroy the plane", officials said.
WAZIRI LUKUVI APOKEA MWENYEWE KERO ZA ARDHI RUKWA!
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akipokea na kuchambua barua za malalamiko ya wananchi kuhusu migogoro ya ardhi mkoani Rukwa leo hii. Zoezi hilo ameliendesha mwenyewe katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa na kuwaagiza maofisa wake kuyashughulikia malalamiko hayo huku akiwaahidi wananchi hao kwamba yatapatiwa ufumbuzi baada ya mwezi mmoja. (Picha zote na brotherdanny5.blogspot.com).
Subscribe to:
Posts (Atom)