Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Friday, 29 May 2015
MWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA GREEN WASTE YA SHS. 1.6 BILIONI
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na na kampuni ya Green WastePro ltd. Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog
VIONGOZI WAANZILISHI TAPSEA WALALAMIKIA UCHAGUZI WA CHAMA CHAO
TAASISI TANO ZASABABISHIA SERIKALI HASARA YA BILIONI 10/-
Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Juma Assad
NA SALOME KITOMARY
Taasisi tano za serikali zimeisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 10 kwa kipindi cha miaka miwili.
SIKU 6 ZA KISHINDO URAIS CCM!
NA RESTUTA JAMES
Zikiwa zimebaki siku sita kabla ya kuanza kwa mchakato wa uchukuaji fomu za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), makada wanaotajwa na ambao wameonyesha nia ya kuwania mafasi hiyo, wameanza kupigana vikumbo kutangaza nia na kueleza sababu za wao kuomba nafasi hiyo.
MAALIM SEIF ATIKISA FOMU URAIS ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea urais baada ya kuichukua kutoka kwa Katibu wa tawi la chama hicho Bububu, Saleh Muhammed Saleh, mjini Zanzibar jana. Picha: Rahma Suleiman
NA RAHMA SULEIMAN
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amechukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, huku akisema afya yake ni nzuri na yupo imara kugombea nafasi hiyo na kuongoza nchi.
USHIRIKINA WATEKETEZA WATU 2,936
Jaji mstaafu, Amir Manento.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti kuhusu haki za binadamu nchini ya mwaka 2014 ikionyesha kuongezeka kwa matukio kadhaa ya uvunjaji wa haki hizo nchini vikiwamo vifo vya watu vinavyotokana na imani za ushirikina. Pia ripoti hiyo imeonyesha kuwa demokrasia nchini bado ni safari ndefu.
PRESIDENT CANCELS NIGERIA TRIP AFTER DELEGATION SCANDAL
President Uhuru Kenyatta. He on May 28, 2015 cancelled his official trip to Nigeria due to a bloated list of officials to accompany him, among other reasons. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP.
By AGGREY MUTAMBO
President Uhuru Kenyatta Thursday cancelled an official visit to Nigeria at the eleventh hour after questions were raised over the large number of officials that had been lined up to accompany him.
COAST HUMAN RIGHTS NGOS PROTEST
Muhuri executive director Hassan Abdule and chairman Khelef Khalifa address a press conference on May 28, 2015 condemning the government’s move to outlaw their operations. LABAN WALLOGA | NATION MEDIA GROUP
By DANIEL TSUMA NYASSY
Haki Afrika and Muslims for Human Rights Thursday expressed surprise at the decision by the NGOs Coordination Board to deregister them and cancel their licences.
POLISI 12 WAKAMATWA KWA ULANGUZI
Polisi 12 wamekamatwa nchini Malaysia kufuatia tuhuma za kushirikiana na walanguzi wa binadamu.
Thursday, 28 May 2015
PLATINI ASEMA, BLATTER AMEKATAA KUJIUZULU FIFA
Rais wa UEFA Michel Platini amesema kuwa UEFA itamuunga mkono mpinzani wa Blatter
Rais wa shirikisho la soka Duniani FIFA Sepp Blatter,amekataa kata kata kujiuzulu.
MHUDUMU WA BAA TAABANI KWA KIFO CHA MTEJA
Muhudumu mmoja wa baa amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumpa mteja wake jumla ya vipimo 56 vya pombe na kisha akafa.
MWANAHABARI FRANK KIBIKI AZIDI KUNG'ARA UBUNGE IRINGA MJINI
.jpg)
Frank Kibiki
NA MWANDISHI WETU
MATOKEO ya utafiti uliofanywa na taasisi ya Southern Zone Election Research (SZER), katika jimbo la Iringa mjini umeonyesha kuwa nyota ya Mwanahabari , Frank Kibiki aliyetangaza nia kuwania Ubunge jimbo la Iringa mjini (CCM) inazidi kung’ara baada ya kuongoza huku akichuana vikali na Mbunge wa sasa Mchungaji Peter Msigwa(CDM).
JESHI LA MAREKANI LAKIRI KUTUMA KIMETA KIMAKOSA
Maafisa 22 waliogusana na zana hiyo ya kimeta katika kambi ya Osnan Korea Kusini wanachunguzwa
Maafisa wakuu katika idara ya ulinzi ya Marekani wamekiri kuwa chembechembehai za ugonjwa hatari wa Kimeta zilitumwa kimakosa kwa kambi 9 za kijeshi nchini Marekani na moja nchini Korea Kusini.
WAKATOLIKI WAJIONDOA KWENYE UCHAGUZI BURUNDI
Kanisa Katoliki nchini Burundi limejiondoa katika mchakato mzima wa uchunguzi na uongozi wa aina yoyote katika uchaguzi huo.
WABUNGE 42 KULAMBA SH3.3 BILIONI KWA MWAKA
Na Waandishi Wetu
Dar es Salaam. Kipindi kama hiki, mwaka jana kulikuwa na mnyukano mkubwa wa maoni kuhusiana na pendekezo la Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwamba muundo wa Muungano wa Tanzania Bara na Zanzibar uwe wa Serikali tatu.
MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR AMUUNGA MKONO MEMBE
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
Na Julius Mathias, Mwananchi
Dar es Salaam. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema atakuwa bega kwa bega na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika mbio zake za kuwania urais.
HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI KAMA ILIVYOTOLEWA NA WAZIRI JOHN MAGUFULI
.jpg)
HOTUBAYA WAZIRI WA UJENZI, MHESHIMIWADKT. JOHN POMBE MAGUFULI (MB),AKIWASILISHABUNGENI MPANGO NAMAKADIRIO YA MAPATONA MATUMIZI YA FEDHAKWA MWAKA WA FEDHA 2015/16
UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa fedha 2014/15. Aidha, naomba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2015/16. Aidha, napenda kutoa Taarifa kuwa Takwimu za Aya ya 14 ya Kitabu cha Hotuba yangu zimerekebishwa na marekebisho yake yameambatishwa.
MASAKA LAND BOARD DISBANDED
By ISA ALIGA & SHAMIM J NAKAWOOYA
Masaka. The Masaka District Council has disbanded the district land board despite stiff resistance from majority of the councillors.
UGANDA 2016 BUDGET HITS RECORD SHS24 TRILLION
By Yasiin Mugerwa & Nelson Wesonga
Parliament- The government has presented a Shs24.1 trillion Budget for the 2015/16 Financial Year, up from this year’s Shs15 trillion.
Subscribe to:
Posts (Atom)