Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga,Mhina Mustapha
Selebosi mwenye miwani na tisheti akizungumza na wasafirishaji
wanaofanya shughuli zao kati ya Mombasa nchini Kenya kuhusu kuwataka
kuhamia eneo la stendi mpya ya kange kwa ajili ya kutoa huduma zao
kulia mwenye kofia ni Mbunge wa Jimbo
la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku.
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Monday, 16 January 2017
WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA AMINA ATHUMAN DAR
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru, Amina Athuman walipokuwa wakioutoa nyumbani kwake Banana, Dar es Salaam leo, kuliingiza kwenye gari tayari kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Lushoto kwa mazishi. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
MKUTANO MKUU WA TAFCA KINONDONI
Mkutano Mkuu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) Mkoa wa kisoka wa Kinondoni utafanyika Februari 18 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.
MGEJA AIONYA CCM KAGERA KWA ‘GOLI LA MKONO’
Na Hastin Liumba, MulebaKADA machachari wa chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) Khamis Mgeja ameionya chama cha mapinduzi (CCM) kiache mchezo mchafu wa ‘Goli la Mkono’ ambao ni sawa na wizi wa kura katika chaguzi ndogo za Udiwani na Ubunge zinazofanyika nchini sasa.
NAIBU WAZIRI KIGWANGALA AWAKABIDHI WAZEE 200 KADI ZA BIMA ZA AFYA JIMBO LA MASAUNI, UNGUJA ZANZIBAR
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto, Dk. Hamisi Kigwangala, akimkabidhi Bi. Salma Salum kadi ya bima ya Afya
katika viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja, Zanzibar. Kadi zaidi
ya 200 walikabidhiwa wazee wa Jimbo la Kikwajuni ambapo anatoka Mbunge wa Jimbo
hilo ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(kushoto). Picha zote na Felix Mwagara.
TFF YATUMA RAMBIRAMBI MSIBA WA MWANAHABARI AMINA ATHUMANI
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani kutokana na kifo cha Mwanahabari za michezo, Amina Athumani (pichani).
ZOEZI LA KUCHAGUA MSHINDI WA TUZO YA ALM 2016 LAFUNGWA, MO DEWJI AONGOZA KWA ASILIMIA 60.8
Jarida la African Leadership limefunga zoezi la kupiga kura kuchagua mshindi wa tuzo ya African Leadership Magazine Person Of The Year 2016, tuzo ambazo Mtanzania Mohammed Dewji alikuwa mmoja kati ya watu nane ambao walikuwa wakiwania.
MO DEWJI AKANUSHA KUZUNGUMZA KUHUSU PESA ZA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA
Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji amekanusha taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa amefanya mahojiano na kituo cha Redio cha Times FM kuhusu pesa zilizochangishwa katika Tetemeko la Ardhi la Kagera lililotokea mwezi Septemba, 2016.
MAMA SAMIA ATOA DARASA KUBWA LA SIASA KWA WANA CCM KASKAZINI B UNGUJA
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini B, Unguja
wakati wa Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha
Mapinduzi na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo
VILIO, SIMANZI, MAJONZI VYATAWALA VIFO VYA WATOTO WA MAOFISA WA MAGEREZA WALIOKOSA HEWA NDANI YA GARI JIJINI DAR
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mtakatifu Therese wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mwanafunzi mwenzao Maria Masala wakati wa ibada ya kuuaga mwili huo iliyofanyika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Therese Ukonga Madafu Dar es Salaam jana.
Saturday, 14 January 2017
SERIKALI KUENDELEZA MAPAMBANO YA DAWA ZA KULEVYA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati), akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Familia ya Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni, Gift Msuya,Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Suzan Kaganda na Meya wa Manispaa hiyo, Benjamin Sitta.
BENKI YA NMB WACHANGIA UJENZI WA SKULI YA MSINGI NGAMBWA KISIWA CHA UZI, UNGUJA
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akipokea msaada wa mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya ujenzi wa Skuli ya ngambwa uzi kutoka kwa Kaimu Meneja wa Benki ya NMB Ndg. Waziri Barnabas, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Dunga.
DC MUHEZA ASHIRIKI JOGGING, AWATAKA VIJANA KUSHIRIKI KWENYE MICHEZO
ERNIE ELS DESIGN YASAINI MKATABA NA ZANZIBAR AMBER RESORT KUJENGA UWANJA WA GOFU WA KIMATAIFA
Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo
MAMA SAMIA AFUNGUA MAFUNZO YA VIONGOZI NA WATENDAJI WA CCM MKOA WA KASKAZINI UNGUJA
Mlezi
wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini A, Unguja wakati wa Kufungua
Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake
wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo
NAIBU WAZIRI WA MICHEZO AHUDHURIA MCHEZO WA KUMUENZI MCHEZAJI WA MBAO FC ALIYEFARIKI UWANJANI.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Annastanzia Wambura, jana akizungumza kwa niaba ya waziri wa wizara hiyo, Mhe.Nape Nnauye, kwenye mchezo wa hisani kati ya timu za UMISETA wilaya za Nyamagana na Ilemela mkoani Mwanza, uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.
Subscribe to:
Posts (Atom)









