Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 26 April 2019

CODING SKILLS FOR FEMALE STUDENTS REACH MORE SCHOOLS IN DAR ES SALAM

Section of secondary school girls at National Library.

By Our Reporter
On its dedicated mission to empower girls and young women through technology in collaboration with Tanzania’s cellular network and mobile phone operator Tigo, a social enterprise Apps and Girls have celebrated in ICT Day by teaching over 240 secondary school girls in Dar es salaam region on Friday.

Wednesday, 24 April 2019

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwingimvua, hundi kifani ya dola milioni 309.65 (sh. bilioni 688.65), ambazo ni malipo ya awali (Advance Payment) kwa Mkandarasi Kampuni ya Misri, inayojenga Mradi wa kuzalisha umeme wa Maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Eva Valerian-Wizara ya Fedha na Mipango)


Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Ni tukio la kihistoria ambapo leo, Aprili 24, 2019,  Serikali ya Tanzania, imetoa  dola za Marekani milioni 309.65, sawa na takriban shilingi bilioni 688.65, fedha zake za ndani,  kama malipo ya awali kwa Mkandarasi - Arab Contractors ya Misri, wanaojenga mradi wa kuzalisha umeme unaotokana na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani.

Monday, 25 March 2019

CCM MBAGALA WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, WAKERWA NA KUKWAMA KWA MIRADI YA MAJI YA SHS. 170ML.

Msimamizi msaidizi wa mradi wa maji wenye thamani ya Shs. 152 milioni, Baltazar Mtenga (kushoto) kutoka kampuni ya Ifango General Enterprises, akielezea changamoto za kukwama kwa mradi huo mbele ya Mwenyekiti wa CCM Tawi la Mbagala Charambe Machinjioni, Shaibu Omari Naputa (kulia) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Machinjioni A, Mkonge Hassan Katani (wa pili kulia) wakati Halmashauri Kuu ya tawi hilo ilipofanya ziara kukagua miradi ya maendeleo mwishoni mwa wiki.

Na Mwandishi Wetu
HALMASHAURI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Charambe Machinjioni katika Jimbo la Mbagala mkoani Dar es Salaam imeonyesha kukerwa na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi miwili ya maji yenye thamani ya zaidi ya Shs. 170 milioni.

Sunday, 24 March 2019

DC ASIA AKERWA NA WANASIASA WANAOINGIZA SIASA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Mkuu wa wilaya ya kilolo Asia Abdallah amekerwa na tabia ya wanasiasa kuingiza siasa kwenye miradi ya maendeleo huku wakijisifu kuifanikisha miradi hiyo badala ya kuishukuru Serekali iliyowaleta hao wahisani mpaka kufika ngazi ya chini na kuwapatia miradi ya maendeleo.

MPINA AWAMWAGIA MABILIONI WAVUVI NCHI NZIMA


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina.

Saturday, 23 March 2019

WATU ELFU 15 WAJINYAKULIA ZAWADI KATIKA PROMOSHENI YA COKE STUDIO KUNYWA NA USHINDE

Meneja Mauzo wa Kampuni ya vinywaji Baridi ya Bonite Bottlers mkoa wa Arusha, Boniface Mwase akizungumza wakati wa kutangaza washindi wa Promosheni ya Coke Studio kunywa na ushinde walijinyakulia Televeisheni. 

Friday, 22 March 2019

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu Kennedy Komba akizungumza wakati akifungua kikao kazi leo Jijini Tanga kulia ni Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Tanga Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto Goodluck Zelote.

Wednesday, 20 March 2019