Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 2 August 2020

GLORY AND MARTHA FROM NGANZA SECONDARY EMERGE OVERALL WINNERS OF THE YST-SCIENCE4DEVELOPMENT 2020 AWARD

Glory Kirochi and Martha Machumu from Nganza Girls' Secondary School in Mwanza, holding the trophy presented to them after emerging winners of the Young Scientists Tanzania (YST) Award, August 2, 2020. (Photo courtesy of YST).

                                                    

By Daniel Mbega

Glory Kirochi and Martha Machumu from Nganza Girls' Secondary School in Mwanza, are the overall winners of the YST-Science4Development 2020 (Young Scientists Tanzania Award).

GLORY NA MARTHA KUTOKA NGANZA WAIBUKA VINARA WA TUZO YA YST 2020

Glory Kirochi na Martha Machumu kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana Nganza iliyopo jijini Mwanza, wakiwa wameshikilia kikombe walichokabidhiwa baada ya kuibuka washindi wa  tuzo ya wanasayansi chipukizi inayotolewa na Taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), Agosti 2, 2020. (Picha kwa hisani ya YST).                 

Na Mwandishi Wetu

Glory Kirochi na Martha Machumu kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nganza iliyopo jijini Mwanza, ndio vinara wa Tuzo ya Wanasayansi Chipukizi inayotolewa na Taasisi ya Young Scientists Tanzania (YST), kwa mwaka 2020.

Thursday, 27 February 2020

HOW MZIZIMA LIONS CLUB’S SCHOOL WATER PROGRAM HAS HONOURED JPM’S INITIATIVES

Mnazi Mmoja primary pupils seen drinking water from a water dispenser constructed by Lions Club of Dar es Salaam - Mzizima through their school water program. On the right is technician Mr. Bakari and the water program coordinator, Mr Akash Chudasama. ALL PHOTOS/DOTTO MWAIBALE.

Friday, 26 April 2019

CODING SKILLS FOR FEMALE STUDENTS REACH MORE SCHOOLS IN DAR ES SALAM

Section of secondary school girls at National Library.

By Our Reporter
On its dedicated mission to empower girls and young women through technology in collaboration with Tanzania’s cellular network and mobile phone operator Tigo, a social enterprise Apps and Girls have celebrated in ICT Day by teaching over 240 secondary school girls in Dar es salaam region on Friday.

Wednesday, 24 April 2019

SERIKALI YAWAJAZA MAPESA BILIONI 688 WAKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFIJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwingimvua, hundi kifani ya dola milioni 309.65 (sh. bilioni 688.65), ambazo ni malipo ya awali (Advance Payment) kwa Mkandarasi Kampuni ya Misri, inayojenga Mradi wa kuzalisha umeme wa Maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani, Jijini Dar es Salaam. (Picha na Eva Valerian-Wizara ya Fedha na Mipango)


Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Ni tukio la kihistoria ambapo leo, Aprili 24, 2019,  Serikali ya Tanzania, imetoa  dola za Marekani milioni 309.65, sawa na takriban shilingi bilioni 688.65, fedha zake za ndani,  kama malipo ya awali kwa Mkandarasi - Arab Contractors ya Misri, wanaojenga mradi wa kuzalisha umeme unaotokana na maporomoko ya maji ya Mto Rufiji, mkoani Pwani.

Monday, 25 March 2019

CCM MBAGALA WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, WAKERWA NA KUKWAMA KWA MIRADI YA MAJI YA SHS. 170ML.

Msimamizi msaidizi wa mradi wa maji wenye thamani ya Shs. 152 milioni, Baltazar Mtenga (kushoto) kutoka kampuni ya Ifango General Enterprises, akielezea changamoto za kukwama kwa mradi huo mbele ya Mwenyekiti wa CCM Tawi la Mbagala Charambe Machinjioni, Shaibu Omari Naputa (kulia) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Machinjioni A, Mkonge Hassan Katani (wa pili kulia) wakati Halmashauri Kuu ya tawi hilo ilipofanya ziara kukagua miradi ya maendeleo mwishoni mwa wiki.

Na Mwandishi Wetu
HALMASHAURI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Charambe Machinjioni katika Jimbo la Mbagala mkoani Dar es Salaam imeonyesha kukerwa na ucheleweshaji wa utekelezaji wa miradi miwili ya maji yenye thamani ya zaidi ya Shs. 170 milioni.

Sunday, 24 March 2019

DC ASIA AKERWA NA WANASIASA WANAOINGIZA SIASA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Mkuu wa wilaya ya kilolo Asia Abdallah amekerwa na tabia ya wanasiasa kuingiza siasa kwenye miradi ya maendeleo huku wakijisifu kuifanikisha miradi hiyo badala ya kuishukuru Serekali iliyowaleta hao wahisani mpaka kufika ngazi ya chini na kuwapatia miradi ya maendeleo.

MPINA AWAMWAGIA MABILIONI WAVUVI NCHI NZIMA


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina.

Saturday, 23 March 2019

WATU ELFU 15 WAJINYAKULIA ZAWADI KATIKA PROMOSHENI YA COKE STUDIO KUNYWA NA USHINDE

Meneja Mauzo wa Kampuni ya vinywaji Baridi ya Bonite Bottlers mkoa wa Arusha, Boniface Mwase akizungumza wakati wa kutangaza washindi wa Promosheni ya Coke Studio kunywa na ushinde walijinyakulia Televeisheni. 

Friday, 22 March 2019

ASKARI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MIKOA YA KANDA YA KASKAZINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI

 Mwenyekiti wa kikao kazi ,Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Arusha Mrakibu Kennedy Komba akizungumza wakati akifungua kikao kazi leo Jijini Tanga kulia ni Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Tanga Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto Goodluck Zelote.

Wednesday, 20 March 2019

Monday, 30 January 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KUTANGAZA JINA RASMI LA KITUO CHA AMANI NA USALAMA KILICHOPEWA JINA LA MWALIMU JULIUS NYERERE KATIKA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA AFRICA (AU) ADDIS ABABA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha  Amani na Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika Addis Ababa nchini Ethiopia.

MAKATIBU WAKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO NA WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI WATEMBELEA MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE



Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda (kushoto), akiwa pamoja na Mkuu wa wilaya ya Momba mkoani Songwe, Bw. Juma Irando (katikati), na maafisa kadhaa wa Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya Viwanda, Biashara naUwekezaji, wakitoka katika Ofisi za Mkurugenzi wa Mji wa Tunduma kuelekea mpakani mwa Tanzania na Zambia eneo la Tunduma na Nakonde.

MLIMBWENDE WA SHINDANO LA MISS KIBOSHO 2017 JIJINI MWANZA APATIKANA.

Baada ya mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa shindano la MISS KIBOSHO 2017 kufanyika kwa mara ya kwanza usiku wa ijumaa Januari 27, 2017 na jana jumamosi Januari 28,2017 katika Ukumbi wa Kibosho Luxury Bar Kiseke Ilemela Jijini Mwanza, hatimaye mshindi amejulikana.

AFRICA GRADUATE UNIVERSITY CHAWATUNUKU PhD WANAOFANYA KAZI ZA JAMII NCHINI

Mkuu wa Chuo cha Africa Graduate cha jijini Dar es Salaam, Profesa Steven Nzowa, akiongoza mahafali ya kuwatunuku Tuzo ya Heshima ya Udaktari (PhD) wanaharakati na watumishi wa mungu nane pamoja na wengine kadhaa waliotunukiwa Tuzo ya Heshima ya Shahada ya Uzamili HDD Dar es Salaam jana.

UONGOZI WA BODABODA MKOANI MWANZA WAPONGEZA ZOEZI LA UKAGUZI WA POLISI

Binagi Media Group
Umoja wa waendesha bodaboda mkoani Mwanza umepongeza zoezi la ukaguzi wa vyombo hivyo linaloendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani.

WATANZANIA WAOMBWA KUMUUNGA MKONO RAIS DK.JOHN MAGUFULI

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, John Shibuda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kuuaga mwaka wa 2016 na kuukaribisha mwaka 2017 Dar es Salaam jana. Kulia ni Msajili Msaidizi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Sisty Nyahoza na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ADA na Waziri wa Nchi asiye na Wizara Maalum, Zanzibar.

Thursday, 26 January 2017

NAIBU WAZIRI ELIMU MHANDISI MANYANYA AFANYA ZIARA MKOANI SINGIDA NA KUHAMASISHA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI YA WATU WAZIMA

Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiwasili katika halmashauri ya Wilaya ya Singida ambapo alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Elias Tarimo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Singida Eliya Digha.

ZIARA YA NAIBU WAZIRI MASAUNI MPAKANI TUNDUMA KUKAGUA SHUGHULI ZA UINGIAJI NA UTOKAJI WA WAGENI NA RAIA

Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisaini daftari la wageni baada ya kuwasili wilayani Momba Mkoani Songwe, kwa lengo la  kutembelea na kukagua uingiaji na utoakaji wa raia na wageni katika mpaka wa Tunduma unaotoa huduma kwa watu wanaoingia na kutoka katika nchi za Zambia, Zimbabwe, Botswana, Afika Kusini, Namibia na DRC Congo.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Momba, Juma Irando. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

DOKTA NCHIMBI AHIMIZA KILIMO CHA MUHOGO ILI MKOA WA SINGIDA UWE MZALISHAJI MKUBWA WA ZAO HILO NCHINI

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (mwenye kitambaa cha pink) akisaidiwa kuvuna muhongo aliozawadiwa na mkulima wa kijiji cha Mwankonko Manispaa ya Singida Gideoin Itambu juzi alipofanya ziara katika Manispaa ya Singida kukagua shughuli za kilimo.