| Kaimu Meneja Mwandamizi udhibiti mifumo ya umeme TANESCO
makao makuu, Mhandisi Abubakar Issa,(katikati), akionyesha kifaa kilicholipika (female connector), cha umeme wa 132kv kutoka Ubungo kwenda Chalinze. Kulia ni KaimunMeneja Uhusiano, Bi. Leila Muhaji na kushoto ni mwangalkizi mkuu wa kituo cha kupoza umeme cha Ubungo jijini Dar es Salaam, Bw. Deodatus Ngwanda. |
Twitter Buzz
....
...
IMETOSHA!
Featured post
KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO
Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Thursday, 26 January 2017
TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE, YASEMA GRIDI YA TAIFA IKO SALAMA
BILIONI 13.1 KUTUMIKA KUGHARIMIA MIRADI YA MAENDELEO SINGIDA
Mkurugenzi Bravo Kizito Lyampembile (wa kwanza kushoto) na Meya Manispaa ya Singida, Chima Gwae (katikati) wakitiliana saini mkataba wa mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa 5.75 za mjini hapa kwa kiwango cha lami,na mwakilishi wa kampuni ya China Henan Internatioanl Co operation Ltd ya jijini Dar es salaam, Bi. Zephyr Liu. Ujenzi huo utagharimu zaidi ya shilingi 13.1 bilioni ambazo zimetolewa na benki ya dunia.
Na Nathaniel Limu, Singida
Halmashauri ya manispaa ya Singida inatarajia kutumia zaidi ya shilingi 13.1 bilioni, kwa ajili ya kugharamia miradi mitatu ya uimarishaji miji (ULGSP) inayogharamia na benki ya dunia.
VIDEO – THE MIGTHY ELEPHANT WAITOA MAJI MAJI FA CAP KWA 5 – 4,WAMTESA MCAMEROON WA MAJI MAJI KWA PENATI.
Timu ya Maji Maji imetolewa katika mashindano ya kombe la shirikisho la azam na THE MIGHTY ELEPHANT kwa penati 5 kwa 4.Tizama vijana wa The Migthy Elephant walivyomtesa golikipa wa Maji Maji ambaye ni mCameroon .
KAMA ULIPITWA NA HII,TUMEKUSOGEZEA HIGHLIGHTS ZA MCHEZO WA MAJIMAJI VS YANGA KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA UWANJA WA MAJI MAJI SONGEA
WAKUU WA WILAYA WATEMBELEA SHAMBA LA JARIBIO LA MAHINDI LA KITUO CHA MAKUTUPORA MKOANI DODOMA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira, Profesa Faustine (kushoto), akizungumza na wakuu wa wilaya za Dodoma na maofisa watendaji na wenyeviti wa serikali za mitaa na wadau wa kilimo alipotembelea shamba la Jaribio la Mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) chini ya Mradi wa Mahindi Yanayostahimili Ukame (WEMA) katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mkoani Dodoma leo.
Monday, 23 January 2017
Friday, 20 January 2017
DENMARK KUHAMASISHA WAWEKEZAJI KUJA KUWEKEZA TANZANIA
Waziri wa Fedha na
Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (wa kwanza kulia), akisisitiza jambo wakati wa
mkutano wake na ujumbe kutoka nchini Denmark, ukiongozwa na Waziri wa nchi
anayeshughulikia Sera, Bw. Martin Hermann, walipokutana Makao Makuu ya Wizara
ya Fedha na Mipango Jijini Dar es salaam.
RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MABALOZI SITA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Emanuel Nchimbi kuwa Balozi Nchini Brazili, Ikulu jijini Dar
es Salaam.
NAIBU WAZIRI MASAUNI AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUTEMBELEA GEREZA LA KILIMO SONGWE
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akimpokea Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Kanali Mstaafu Masoud Ally (wapili
kushoto), wakati wa ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua shughuli
zinazofanywa na Gereza la Kilimo Songwe, wilayani Mbalizi, mkoani Mbeya. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi)
MZUNGUKO WA TANO WA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUENDELEA JUMAMOSI HII
Raundi ya tano ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho la Azam 2016/17 (Azam Sports Federation Cup - ASFC), utaanza Jamamosi Januari 21, 2017 kwa timu za Majimaji na Mighty Elephant za Songea kucheza kwenye Uwanja Majimaji mjini Songea.
SKIPPERS HAVEN: HOTELI ILIYOSHEHENI MICHEZO LULUKI YA BAHARINI
Na Jumia Travel Tanzania
Unaweza usiamini kwamba ile michezo ya baharini unayoiona kupitia kwenye runinga, wazungu wakiicheza unaweza ukaifanya ukiwa hapahapa nchini Tanzania. Jumia Travel (www.travel.jumia.com) ingependa kukujuza kuwa hoteli ya Skipper’s Haven iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam, inayo michezo kadhaa ya baharini ambayo itakustaajabisha.
Unaweza usiamini kwamba ile michezo ya baharini unayoiona kupitia kwenye runinga, wazungu wakiicheza unaweza ukaifanya ukiwa hapahapa nchini Tanzania. Jumia Travel (www.travel.jumia.com) ingependa kukujuza kuwa hoteli ya Skipper’s Haven iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam, inayo michezo kadhaa ya baharini ambayo itakustaajabisha.
SERIKALI KUANGALIA UPYA KANUNI ZA TAFITI ILI ZIWEZE KUFANYA KAZI KWA WAKATI
Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba (kushoto), akizungumza na watafiti wa kilimo na wanahabari (hawapo pichani), wakati alipotembelea shamba la jaribio la mahindi yaliyoboreshwa kwa kutumia Teknolojia ya uhandisi jeni chini ya mradi wa Wema katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Makutupora mjini Dodoma leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda.
Thursday, 19 January 2017
KAMPENI MAALUM YA KUINUA MAADILI KITAIFA JAN - DEC, 2017
Kiongozi wa Kampeni ya Kuinua Maadili Kitaifa Bi Mayrose Kavura Majinge, siku ya Jumamosi Jan 14, ameweza kushirikiana na wadau mbali mbali jijini hapa Washington kwa lengo la kuinua Maendeleo Maalum ya Maadili Kitaifa, yaliyoanza rasmi kufanyika mwezi huu Januari hadi Disemba 2017, kwa lengo la kuinua na kudumisha maadili ya Watanzania ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazodhoofisha mfumo wa muundo wa jamii yetu ya Kitanzania.
DKT. MPANGO AZINDUA JINA NA NEMBO MPYA YA KIBIASHARA YA BENKI YA POSTA TANZANIA
Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (Tpb Bank Plc), Bw. Sabasaba Moshingi, akitoa hotuba ya mafanikio ambayo Benki yake imeyapata katika biashara ya Sekta ya Fedha ikiwemo kukuza mtaji, kupata faida na kufanikiwa kubuni Jina Jipya na Nembo Mpya ya Kipepeo, itakayoanza kutumika kuanzia leo Januari 19,2017, baada ya kuzinduliwa rasmi na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam
SERIKALI YAONYA WAWEKEZAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO
Na Woinde Shizza,Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua wawekezaji wanaochochea migogoro katika wilaya ya Ngorongoro na kusababisha uvunjifu wa amani hivyo kuchangia kuzorota kwa shughuli za maendeleo.
Gambo ameyasema hayo katika ziara yake wilayani Ngorongoro inayolenga kutatua migogoro wa pori tengefu lenye ukumbwa wa kilomita za mraba elfu kumi na tano ambapo amekutana na wadau mbalimbali ikiwemo wawekezaji, wafugaji pamoja na viongozi wa kiserikali.
WAKUU WA MASHIRIKA YA UMEME KUTOKA NCHI KUMI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA KUJADILI NAMNA YA KUUNDA MIFUMO YA USAFIRISHAJI UMEME KWA NCHI HIZO
![]() |
Wakuu wa
mashirika umeme kutoka katika nchi kumi za Afrika zinazozalisha
umeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana jijini arusha
kwa malengo ya kujadili mfumo wa usafirishaji wa umeme ikiwa ni pamoja na
namna wananchi wao watakavyoweza pata nishati ya umeme kwa uraisi tofauti
na sasa
Hayo yalisemwa na naibu katibu mkuu wizara ya nishati na madini Dkt.Juliana
palangyo alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa
mashirika ya umeme katika nchi hizo za Eastern Africa Power
Pool (EAPP) mapema leo.
umeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana jijini arusha
kwa malengo ya kujadili mfumo wa usafirishaji wa umeme ikiwa ni pamoja na
namna wananchi wao watakavyoweza pata nishati ya umeme kwa uraisi tofauti
na sasa
Hayo yalisemwa na naibu katibu mkuu wizara ya nishati na madini Dkt.Juliana
palangyo alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa
mashirika ya umeme katika nchi hizo za Eastern Africa Power
Pool (EAPP) mapema leo.
NYOTA AIRTEL WATAWALA LIGI YA WANAWAKE, MECHI MBILI KUCHEZWA KESHO
Wakati Ligi Kuu soka ya Wanawake ikitarajiwa kuendelea kesho Ijumaa Januari 20, 2017 kwa michezo mitano, wachezaji 19 kati 25 bora walioteuliwa katika mradi wa kuibuka na kukuza vipaji vya soka wa Airtel (Airtel Rising Stars), wametawala katika klabu zinazoshiriki michuano hiyo, inayoendelea.
OMBI LA ZANZIBAR KUJADILIWA CAF
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF. Katika kikao chake cha Kamati ya Utendaji kilichoketi Januari 12, mwaka huu kiliamua kupitisha ombi hilo kuwa moja ya ajenda za Mkutano Mkuu wa CAF utakaofanyika Machi 16, 2017 huko Addis Ababa, Ethiopia.
FIFA YAMTEUA MALINZI MJUMBE KAMATI YA MAENDELEO
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi huo unaanza mwaka huu 2017 hadi 2021.
NAIBU WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA JIJINI MBEYA
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu
maswali yaliyoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama wakati wa ziara ya kikazi iliyofanyika leo jijini Mbeya.Kulia
ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kanali Mstaafu Masoud Ally.( Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
WIMBO MPYA WA ASILI WENYE VIONJO VYA KISASA KUTOKA KWA SEKO BWAY-NZUGWI
Pata fursa ya kusikiliza wimbo mpya wa asili ya kisukuma kutoka kwa mwanamuziki Seko Bway. Wimbo unaitwa Nzugwi na umeimbwa kwa vionjo vya muziki wa kisasa. Umetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records ya Jijini Mwanza.
Bonyeza hapa kusikiliza
Bonyeza hapa kusikiliza
Subscribe to:
Posts (Atom)










