Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...
Friday, 11 December 2015
WASANII WA KIKE WAASWA KUFANYA KAZI KWA BIDII
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo Leah Kihimbi akitoa hotuba katika Warsha ya siku mbili kuhusu
wasanii wanawake kupinga ukatili wa kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika ili
kuhitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kusheherekea siku ya
msanii Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Tanzania
Agnes Lukanga akitoa mada katika warsha ya siku mbili kuhusu wasanii wanawake
kupinga ukatili wa kijinsia, mafunzo hayo yamefanyika ili kuhitimisha siku 16
za kupinga ukatili wa kijinsia na kusheherekea siku ya msanii Tanzania
iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment