Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), wakibadilishana Hati za
Makubaliano ya Ushirikiano waliosaini na Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa
Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang, katika hafla iliyofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Kitengo
cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), akimpa zawadi ya kinyago
Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang
Jiang, mara baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya wizara
hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto), akipokea zawadi kutoka
kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang
Jiang, mara baada ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara
hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (wa pili kushoto), akimfafanulia
jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China,
Wang Jiang (kulia), kabla ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya
Wizara hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara
hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu, Mbarak Abdulwakil. Picha
na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kushoto) akimkaribisha ofisini
kwake Naibu Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China,
Wang Jiang, kabla ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya wizara
hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akimpa maelezo mafupi Naibu
Waziri wa Wizara ya Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang
(wapili kushoto), kabla ya kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya
wizara hizo mbili. Hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara
hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya
Ushirikiano wa Ndani nchini China, Zhang Xiaohui. Picha na Kitengo cha
Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (watano kulia-mstari wa
mbele), Naibu Waziri wa Wizara ya
Usalama wa Raia wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Jiang (watano kushoto-mstari
wa mbele), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil
(watatu kulia-mstari wa mbele) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mawaziri
hao kumaliza kusaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano kati ya wizara hizo
mbili. Tukio hilo lilifanya katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini
Dar es Salaam leo. Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
No comments:
Post a Comment