Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Wednesday, 23 December 2015

UHAMIAJI MALKIA WA MUUNGANO NETIBOLI

 Mchezaji wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda kwa mabao 38--25.
Mchezaji wa Timu ya JKU Dawa Haji (GA) akijiandaa kudaka mpira huku mlizi wa Timu ya Uhaniaji Kachilika Joana (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo.Timu ya Uhamiaji imeshinda 38--25 
 Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) na JKU Ashura Ramadhani (WD) 
 Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Mary Banya (GS) akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao na Timu ya JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana Zanzibar. 

Wapenzi wa mchezo wa Netiboli Zanzibar wakifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya Muungano kati ya Uhamiaji na JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Restuta Boniface (WD) akiwa hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar
 Mchezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) akiwa hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar

  Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na JKU wakiwa katika goli la JKU weakiushindikiza mpira golini kuandika bao kwa timu ya Uhamiaji. 


Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
 Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
Kocha Mkuu wa Timu ya Uhamiaji akizungumza na Waandishi wa habari baada ya kumalizika mchezo wao na Timu ya JKU ya Zanzibar ya kukamilisha Ligi Kuu ya Muungano Mchezo wa Netiboli uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Timu ya Uhamiaji imeshida kwa 38--25
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com, . 

No comments:

Post a Comment