Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo
inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni
Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta. Picha zote na Kitengo cha
Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akisaini hati ya kiapo mara baada
ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza
mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es
Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na
Magereza. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga mara baada ya kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, katika tukio lililofanyika
katika Mahakama hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala
ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Picha na Kitengo cha
Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akisaini kitabu cha wageni
katika ofisi ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (katikati), mara
baada ya Jaji huyo kumuapisha Waziri Kitwanga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi
ya Jeshi la Polisi na Magereza, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu wa
Waziri huyo, Nelson Kaminyoge. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga akipandisha ngazi za kuingia Mahakama
Kuu wakati alipokuwa anaenda kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya
Jeshi la Polisi na Magereza. Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, Shabani Lila
alimuapisha Waziri Kitwanga Mahakamani hapo, jijini Dar es Salaam leo. Tume
hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Picha na
Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) na Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu, Shabani Lila wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Waziri
Kitwanga kuapishwa na Jaji huyo kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la
Polisi na Magereza katika tukio lililofanyika Mahakamani hapo, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano-MOHA.
Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu nchini, Shabani Lila (katikati) akimsindikiza Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) mara baada ya kumaliza
kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza,
katika tukio lililofanyika Mahakama Kuu, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo
inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni
Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta. Picha zote na Kitengo cha
Mawasiliano-MOHA.
No comments:
Post a Comment