Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akizungumza
na washiriki wa Mafunzo ya awali
kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi(hawapo
pichani),wakati alipofungua mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo
watumishi wapya, katika ukumbi wa mikutano wizarani hapo,jijini Dar es Salaam.Kulia
ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mbarak Abdulwakil akizungumza na
washiriki wa Mafunzo ya awali kwa
Watumishi wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi wakati alipofungua
mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo watumishi wapya, katika ukumbi wa
mikutano wa wizara, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi
wa Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian
Mapfa .
Washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa
Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani), wakati
alipofungua mafunzo hayo katika ukumbi wa mikutano wizarani hapo,jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Lilian Mapfa akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi
wa Mkataba wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi(hawapo pichani),kushoto ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Utawala na Usimamizi wa Idara ya Wakimbizi, Deusdedit
Masusu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil(watatu kutoka kushoto), akiwa katika picha
ya pamoja na washiriki wa Mafunzo ya awali kwa Watumishi wa Mkataba wa Idara ya
Huduma kwa Wakimbizi, muda mfupi baada ya kufungua mafunzo hayo katika ukumbi
wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam wanne kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa
Idara ya Utawala na Usimamizi wa
Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Lilian Mapfa na wa pili kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Numbilya Mpolo .(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi,MOHA)
Imeandaliwa na Kitengo cha
Mawasiliano ya Serikali-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment