Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwa wamebeba
mfano wa majeruhi wa ajali, mara baada ya kumuokoa kutoka eneo la tukio wakati
wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo,yaliyofanyika
Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakionyesha jinsi
ya kuzima moto wakati wa maonyesho ya kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na Askari wa Jeshi hilo, yaliyofanyika
Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji, jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wakionyesha
mafunzo ya karate waliyopata mara baada ya kuhitimu kozi ya awali ya Sajini na Askari wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Chuo
cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wakionyesha mafunzo ya sarakasi waliyopata mara baada ya kuhitimu kozi ya awali ya Sajini na Askari wakati wa kufunga mafunzo hayo katika Chuo
cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Mhitimu wa Mafunzo ya Kozi ya Awali ya Sajini na
Askari, Joel Daniel (kulia), akimpiga teke mhitimu mwenzake Sylvestre Mandawa,
wakati wa maonyesho ya karate ya kufunga
mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na
Askari wa Jeshi hilo, yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji, jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki.
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakiwadhibiti vijana
ambao ni mfano wa wezi ambao walikamatwa wakiiba vitu wakati wa janga la
moto, maonyesho hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki, Chuo Cha Uongozi JKT Kimbiji,
jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika
Chuo Cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Pius
Nyambacha, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kozi ya awali ya Sajini na
Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika
Chuo Cha Uongozi JKT Kimbiji,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi)
Imeandaliwa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment