Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday, 14 September 2014

WANAMGAMBO 100 WA BOKO HARAM WAUAWA



 Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaua zaidi ya wanamgambo 100 wa kundi la Boko Haram kufuatia shambulizi la wapiganaji hao siku ya ijumaa kazkazini mashariki mwa jimbo la Borno.
Vikosi vya serikali vimeripotiwa kuyakamata magari na risasi
wakati vilipokuwa vikiimarisha usalama katika mji wa Konduga,yapata kilomita 35 kutoka mji mkuu wa jimbo hilo, Maiduguri.
Wapiganaji wa Boko Haram wameiteka miji kadhaa na vijiji katika majuma ya hivi karibuni wakikaribia kuelekea Maiduguri.
BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment