Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta
Mambo yameiva, na hii hapa ndiyo Rasimu ya Tatu ya Katiba, ambayo inapendekezwa na Bunge Maalum.
Vipengele vingi vimebadilishwa. Haya hapa ni mambo ya Muungano:
Mambo ya Muungano
1.
Katiba
na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2.
Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
3.
Usalama
na usafiri wa anga.
4.
Uraia na uhamiaji.
5.
Jeshi
la Polisi.
6.
Sarafu na Benki Kuu.
7.
Kodi
ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika, ushuru wa forodha na ushuru
wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania na zinazosimamiwa na Idara ya
Forodha.
8.
Mambo
ya nje.
9.
Usajili wa vyama vya siasa.
10.
Mahakama
ya Juu na Mahakama ya Rufani.
11.
Elimu ya Juu.
12.
Baraza
la Taifa la Mitihani na mambo yote yanayohusika na kazi za Baraza hilo.
13.
Utabiri wa hali ya hewa.
14.
Utumishi
katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
waache ujinga.
ReplyDelete