Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday 27 September 2014

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge (kulia) akiongea na mjumbe wa Bunge hilo, Mhe. John Shibuda baada ya kuharisha bunge hilo mchana mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akijadili jambo na wajumbe wengine wa Bunge hilo leo 27 Septemba, 2014 mjiini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu na Mhe. John Shibuda wakiteta jambo mara walipotoka nje baada ya kuhairishwa kwa bunge hilo mchana mjini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka nje mchana baada ya kuhairishwa kwa bunge hilo mjini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DODOMA)

No comments:

Post a Comment