Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday 23 September 2014

RAPA WITNESS MWAIJEGA APOTEZA MAPACHA, MIMBA YAHARIBIKA!

Sad: Rapper Witness apoteza mapacha baada ya ujauzito kuharibika
Rapa wa kike Witness Mmwaijega amepata bahati mbaya baada ya ujauzito wake wa miezi nane na nusu kuharibika.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, Witness ameeleza kuwa alikuwa anatarajia mapacha na alikuwa katika hatua za mwisho lakini ghafla ikatokea hali hiyo ambayo hadi sasa inafanyiwa uchunguzi na madaktari kubaini chanzo.
“Kuna mambo ambayo niliambiwa kwamba endapo ningekuwa sina mazoezi au ningekuwa siko strong ina maanisha kwamba na mimi mwenyewe ningekuwa hatarini,” amesema Witness.
Ameeleza kuwa hali hiyo ilitokea Ijumaa iliyopita lakini yeye na mchumba wake Ochu waliamua kukaa kimya kwa muda hadi leo walipoamua kuiweka wazi.
Akiongelea afya yake, member huyo wa zamani wa WAKILISHA ameeleza kuwa hivi sasa anaendelea vizuri.
Tunampa pole kwa tatizo hilo lililomkuta na tunamuombea awe na afya njema kama zamani.

No comments:

Post a Comment