Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Saturday, 20 September 2014

RAIS WA UEFA MICHEL PLATINI AKATAA KUREJESHA 'ZAWADI'

Rais wa UEFA Michel Platini
Rais wa Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) Michel Platini amesisitiza kuwa hatorejesha saa yenye thamani ya Euro 16,000 aliyopewa kama zawadi na shirikisho la soka nchini Brazil CBF.
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA)
limewataka maafisa wote waliopewa saa hizo katika kombe la dunia kuzirudisha kwa kuwa zawadi hizo zinakiuka maadili ya sheria za FIFA.
Lakini Platini mwenye umri wa miaka 59 amesema yeye hawezi kurudisha zawadi.
Platini amesema kuwa FIFA ilikuwa na habari kwamba zawadi hizo zilitolewa mnamo mwezi juni ,lakini akashangazwa ni kwa nini shirikisho hilo halikuchukua hatua wakati huo.
Saa hizo zilitolewa na mmoja ya wafadhili wa shirikisho la soka.
CREDIT: BBC/SWAHILI

No comments:

Post a Comment