Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Thursday 1 September 2016

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU APOKEA BANDO LA KUPAMBANA NA RUSHWA LEO


Mkurugenzi Mkuu wa  Ofisi ya Kupambana  na Kuzuia Rushwa, nchini , Bw.Valentino  Mlowola (TAKUKURU) (aliyepo upande wa kulia) akipokea Bango la Mahakama ya Tanzania kutoka     kwa Mkurugenzi Msaidizi  Utawala(katikati) , Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa Utumishi, Mahakama ya Tanzania,Bi. Mwajuma Suru. Makabidhiano hayo yalifanyika  jana kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa, nchini, Bw. Valentino  Mlowola (TAKUKURU) (kulia)akizungumza jambo  na  Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, (kushoto) Bi .Wanyenda Kutta Mahakama ya Tanzania, kabla ya Makabidhiano hayo kufanyika leo kwenye ofisi za Makao Makuu ya TAKUKURU.PICHA NA MAHAKAMA YA TANZANIA

No comments:

Post a Comment